Pendekezo: Intelijesia ya CHADEMA iongezewe mshahara mara 3 zaidi.

Pendekezo: Intelijesia ya CHADEMA iongezewe mshahara mara 3 zaidi.

naona kna ben saanane na yerko nyerere wazee wa kutembea na sumu mifukon mnakuja na id gake kuomba mbowe awaongezee pesa kwa kutumiwa kupka taarfa za uongo ili mbowe na mtyei waendelee kuongoza saccos yao...je membe huwa anawapa kias gan

mkuu hii intelejensia yako naiamini; hawa vijana watukutu sana.
 
naona kna ben saanane na yerko nyerere wazee wa kutembea na sumu mifukon mnakuja na id gake kuomba mbowe awaongezee pesa kwa kutumiwa kupka taarfa za uongo ili mbowe na mtyei waendelee kuongoza saccos yao...je membe huwa anawapa kias gan
Hivi usajiri wa Lumumba project team hua unazingatia kigezo gani? kama kuandika tu inakua shida, tena Kiswahili hebu pitia tena humo nilimo underline!
 
TISS imebakia kuwa kama watoa taarifa za ngoma za kumtoa na kumnema mwali
 
yani kupika tarifa na kuziita za siri wewe ndiyo umeona kitu cha maana mpaka uwe na mawazo kama hayo?

Ni vema utafakari upya hicho unachodhani kuliko kuruka ruka tu.
mkuu waraka upi umepikwa? mbona kitila amekiri?
 
naona kna ben saanane na yerko nyerere wazee wa kutembea na sumu mifukon mnakuja na id gake kuomba mbowe awaongezee pesa kwa kutumiwa kupka taarfa za uongo ili mbowe na mtyei waendelee kuongoza saccos yao...je membe huwa anawapa kias gan

BI DADA KANUNUA CM MPYA...

Screen touch..!!!
Mdada : bebi mambwo
Jamaa : poa nambie

Mdada : vipw umelalwa?
Jamaa: unasemaje? Cjakuelewa hapo.

mdada : nauliza umelalwa?
Jamaa: mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.

Mdada : mim menyew cjalwala ---- mijitu inapiga kelelw hapa nje kwetu hadi inaboo wa.
Jamaa: unasema kumaa?

Mdada : kuna kelelwe hapa nje ya numba yetu usingwizi hakuna kabwisa. Jamaa: hahaha pole huny.

Mdada : bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: jaribu kuandika vizuri baby.

Mdada : hehehehwehwehwe. Cunajua simu mupya alafu skirini tachi kila nikibinya elufi hii inakuja elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.

Jamaa : hahhaaa haya myn.
 
Back
Top Bottom