Kwa mtazamo huohuo unaonaje tukiomba Madaraka au Makongoro Nyerere awe rais ili kumuenzi hayati Baba wa Taifa? Au Katiba mpya iseme kabisa kuwa kiongozi akifa basi ndugu yake wa karibu au mtoto achukue nafasi yake ili kumuenzi marehemu?.
japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen
japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen
Sasa huo ni mfumo wa uchifu nadhani Tanzania tumeufuta kwanini apewe pacha wake je kama yeye ni mwana CCM au uwezo wake ni mdogo napo tumpe tu sababu ni pacha wa marehemu?tukumbuke hapa duniani sote tunapita tu kwa hiyo kila mtu awe nafasi kutokana na uwezo wake na si kwa kuangali undungu,nasaba na mambo mengine.Tunategemea Chadema iwe msitari wa mbele kuyapinga haya mambo ya kubebana eti kwa sababu ya kuenzi,tutaenzi wangapi,au mnataka tuwe kama Kenya ,India ,pakistani ambako vyeo huwa kama ni haki ya urithi.Acheni kuleta maudhi na tafakuri zisizo na mshiko kwa wakati huu wa majonzijapo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen
Mbona status yake kwenye facebook inaonyesha ni Mwana CCM? Au apewe bila kujali chama anachotoka? Hata hivyo sidhani kama ni sahihi kufanya hivyo. Kumuenzi ni kuendeleza yale yote mema aliyoanzisha na kupigania marehemu. Kuhusu nani atachukua nafasi nadhani ile orodha ya NEC inahusika, aliyefuata baada ya Sabrina Sungura au Anna Stela Mallac kama sikosei ndie anayestahili. Kinyume na hapo lazima tutasikia vurugu tu