Pendekezo: Filikunjombe awe Waziri Mkuu mpya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo: Filikunjombe awe Waziri Mkuu mpya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Apr 20, 2012.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  NDIGu watanzania wenzangu, raia wenye mapenzi mema na inji hii, waume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo, waliosoma na wasiosoma...mabibi na mabwana!!!!

  ni ushahidi tosha kuwa maisha ya watanzania wengi kwa miaka mingi yamedumazwa na kutiwa kilema na mipangilio ya utawala wa KICHIFU na ubadhirifu unaokumbatiwa na CCM!!

  sasa nchi imekomaa watu wanataka wawe na uamuzi juu ya hatma ya nchi yao!!

  watu wamelia..tumeona wezi wa kuku wakitupwa magerezani...wahujumu wa afya elimu na kila tunu na rasilimali ya taifa wakilindwa na kupigiwa makofi....

  mwalimu alisema, naomba tumuelewe.....mwalimu...yeye ni mwanaCCM mwenye kadi namba moja...alikiri kuwa taifa kwanza CHAMA baadae!!!

  wengi tumejitolea kuulea upinzani kwa nia njema ya taifa..adhabu tunazozipata ni kali sana...wengine walisema tumejitakia wenyewe!!!!

  sasa umefika wakati..tuungane kuilinda nchi yetu....

  waliiba kina jairo, na wenzao....wakalindwa.....

  wakaua watu kule muhimbili...wakalindwa....

  wakafilisi mashirika ...wakalindwa...

  jamani nyie huko CCM??? mbona chama kina hazina kubwa ya watu wanaoeleweka woga uko wapi???

  mnaogopa nini kuvunja baraza ya mawaziri??? kwani MPAKA SASA WABUNGE WANGAPI WAMESOMEA UWAZIRI KIASI KWAMBA HAMNA WATAALAMU WA KUTOSHA WA KUFANYA KAZI YA UWAZIRI???

  NA NI PEPO GANI LILIWAKUTA MKAANZA KUCHAGUA MAWAZIRI WANAOTEMBEA NA LAP TOP TATU?? NA PETE MBILI ZA ALMASI?

  tumewaona VIJANA,,,tumewaona WAZALENDO!!! tumewaona waCHAPAKAZI...

  filikunjombe tumekuona unavyochapa kazi na kaka zITTO KUNUSURU NCHI.....kule poac..

  USIOGOPE, JIKUSANYE NA WENZIO...WASIKUTISHE KWENYE KIKAO CHAO MCHANA...NI MAGAMBA TU HAO!!!!

  KOMAA NAAMINI KABISA KUNA KITU CHA AJABU KINATAKA KUTOKEA HAPA!!!!! NA NAOMBA WANA JF TUTOE MAWAZO SASA....

  UNAONAJE serekali ya tanzania chini ya waziri mkuu mteule HIS EXELENCY DEO FILIKUNJOMBE?????

  ni muhimu sana kulitafakari hili wakati tunaendelea kuwalilia SOKOINE NA KOLIMBA!!!!!
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...ooh...ooooh!!
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,967
  Trophy Points: 280
  Kwa nini asiwe Zitto? Huu sio wakati wa kuwaza vyeo kama wana nia ya kweli ya kukomboa wananchi .
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ndoto za mizimu ya mababu!!!!!!!

  serikali haiihitaji wazungumzaji inahitaji watendaji.

  Tupe CV yake ya utendaji sio uzungumzaji. Nitakuwa tayari kukuunga mkono
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sina imani na mtu yeyote wa magamba. Wote ni mafisi tu.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Deo?.....kweli CCM mmechoka sasa! hahahaa!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...Labda kama Deo atahamia Chadema.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Siasa ina mambo. Siyo kila msemaji anafaa kuwa Waziri achilia mbali waziri mkuu.
   
 9. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mbona ww wamtaja zitto?
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  1. Kessy
  2. Zambi
  3. Filikunjombe
  4. Serukamba
  Basi wote hao wanastahili kuwa Mawaziri.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  sio rahisi kwa JK kumpa uwaziri kwani kaiumbua serikali yake
  kati ya waliotajwa kufukuzwa wengi ni maswaiba wake
  hakuna kitiakachoendelea labda wabunge waungane wapige kura ya kutokuwa na iman na rais
   
 12. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Marekebisho
  Ndigu...isomeke NDUGU
  Inji....isomeke NCHI
  ujumbe mzuri
   
 13. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ikiwa kushika tu vuvuzela na kupuliza ndo utendaji wenu ccm poleni.....huko wote mmeoza hakuna msafi.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Gamba gamba tu.
   
 15. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani hebu nijuzeni coz nipo mbali na vyombo vya habari na matukio hivi sasa je tayari Pinda kasha acha kazi au?
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hebu tupia cv ya mizegwe pinda tuichek
   
 17. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,750
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280

  CV is no longer a good measure!
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tanzania hamna upinzani...Nashangaa mambo yote yanayohusu utendaji mbovu wa Serikali yanaibuliwa na CCM wenyewe! Hawa wapinzani role yao ni nini? Ni kuandamana tu au ni ku deal na kesi zao mahakamani? Still nipo puzzled!!
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  napendekeza awe Lusinde.
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wali=ubwabwa
   
Loading...