Utaratibu wa kumpata Katibu Mkuu wa CDM unajulikana na hii ya kupigiana kampeni kwenye mitandao sio mojawapo.
Mnaleta mijadala ambayo haipaswi kuwepo na kusababisha mitafaruku isiyo na maana na kupoteza muda wa kuidhoofisha CCM.
Nina kazi kubwa ya kuelimisha vijana wetu katika vyuo vikuu na ninaifurahia kazi hii. Mchango mdogo ninaotoa kwa CDM kwa nafasi niliyo nayo sasa unatosha na ninaridhika.
hoja yako ina maana ya dhati kweli kitila anafaa mkuu.
nafasi ya Mbowe apewe zitto, na nafasi ya mnyika apewe yule mwenyekiti wa Arusha alovuliwa uongozi Mwigamba a.k.a maskini mkulima, na kamati kuu wateuliwe wale masalia waliofukuzwa uanachama, warudishwe wote kwa jina la mwenyekiti mpya zitto, nawataja kwa majina, Juliana Shonza, mtela mwapambo, david kafulila, habibu mchange mwizi wa simu, deogratius kisandu........ hii timu ikiwepo lazima ilete ushindi wa kimbunga 2015.Na nafasi za Mbowe, Zitto, Mnyika???
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.
Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
nafasi ya Mbowe apewe zitto, na nafasi ya mnyika apewe yule mwenyekiti wa Arusha alovuliwa uongozi Mwigamba a.k.a maskini mkulima, na kamati kuu wateuliwe wale masalia waliofukuzwa uanachama, warudishwe wote kwa jina la mwenyekiti mpya zitto, nawataja kwa majina, Juliana Shonza, mtela mwapambo, david kafulila, habibu mchange mwizi wa simu, deogratius kisandu........ hii timu ikiwepo lazima ilete ushindi wa kimbunga 2015.
kwani hicho sio kikosi kazi? kwanza tangu lini mi'CCM ikapanga kikosi kazi chama cha CHADEMA?Tunazungumzia namna ya kukisuka kikosi kipya cha ushindi kwaajili ya 2015 general election na wewe unaanza kuleta ukilaza wako hapa..