Pendekeza aondoke proffesional gani Yanga

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Yanga wamezidisha mchezaji 1 wa kimataifa anatakiwa aondoke mmoja,ingawa mi naona aondoke hamis kiiza we waonaje?
 
Nitawashangaa sana Yanga kumuacha Diego. Mlifanya hivyo kwa Steven Bengo halafu Waganda wakawashangaa sana. Sijui Yanga huwa mnapimaje wachezaji wazuri.
 
Kiiza si mmaliziaji mzuri. Anahitaji nafasi nyingi kufunga goli moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…