Silaha ya muoga na anayeelekea kuhishiwa hoja ni matusi .Wewe kama mwanajamvi mwenzangu nakushahuri tu tumia lugha nzuri ili tutambue mchango wako wa fikra ili tujenge taifa letu si vema kila anayekwenda kinyume na mawazo yako utumie lugha chafu bali uchukue mawazo yake kama changamoto ya kuifanyia kazi ili upate majibu safi.Naongea toka moyoni nimekusamehe bure maana ndiyo changamoto za kupingana kimawazo. kumbuka kuwa atakayepatikana na hatia atapewa adhabu kwa mujibu wa sheria na si utakavyo wewe.
je wewe unaweka adhabu hizo kwa mamlaka gani? Maana sheria zinatungwa na bunge pia zinatafsiriwa na mahakama tena sheria hizo zisiwe kinyume na katiba.Tuache kupelekwa kwa hisia zetu bali kanuni na taratibu tulizojiwekea tu na kama kuna madhaifu kwenye sheria basi ni bora kuweka sheria na taratibu mpya zinazofaa.adhabu ulizoorodhesha kwa mujibu wa kosa hilo haziwezi kutolewa mahakamani pia kumbuka bila ushaidi wa kutosha mahakama humuachia huru mtuhumiwa.

1.. wafungwe miaka 30
2...wanyongwe
3....wagongwe
4.,wahasiwe
5...
NApendekeza wasipewe adhabu yoyote
*Wapandishwe vyeo,wabaki navyo walivyonavyo.
*Wasirudishe pesa walizoiba,ikiwezekana waongezwe.
Maisha yazidi kuwa tight,tanesco ongezeni makato,bei za bidhaa zipande mara tatu zaidi,
2015 tutakuwa tumejifunza kuwa 2010 tuliingia thietre ya kichwa huku tunaumwa matumbo.