Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 411
- 236
Hi,naitwa Sean naishi Dar es Salaam tabata in particular,nimuhitimu wa digrii ya 1 ya Banking and finance pale IFM kwa sasa ni Credit Manager ktk organization yetu mpya(micro finance). Napenda kuogelea sana kwa kweli kwa pool na beach,kuimba nipo vizuri pia as hua naimba choir,mpira Man utd,kusafiri na kuwa na furaha,mmi ni mcheshi,mchangamfu,gentle na rahisi kuendana. Natafuta marafiki. Tafadhari nitumie email kwa wvevee@yahoo.com or 0779135909. Asanteni na karibuni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums