KERO Pemba: Barabara zaidi ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Yaras

Member
Jul 10, 2023
7
7
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.

Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.

Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa cha pemba!

Kwa kweli ni aibu na kero kubwa sana kwa wakazi wa kisiwa hiki!
 
Sasa hizo barabara ni za kazi gani wakati hata magari yenyewe Pemba hayapo. Zile trafic light kule Wete zinaongoza mikokoteni inayovutwa na punda na ngo'mbe. Halafu wapemba wote wapo Unguja na Kigamboni sasa barabara za nini.
 
Sasa hizo barabara ni za kazi gani wakati hata magari yenyewe Pemba hayapo..Zile trafic light kule Wete zinaongoza mikokoteni inayovutwa na punda na ngo'mbe. Halafu wapemba wote wapo Unguja na Kigamboni sasa barabara za nini
Zinaongoza mkokoteni wa babako sio vibaya kuwepo
 
Sasa hizo barabara ni za kazi gani wakati hata magari yenyewe Pemba hayapo..Zile trafic light kule Wete zinaongoza mikokoteni inayovutwa na punda na ngo'mbe. Halafu wapemba wote wapo Unguja na Kigamboni sasa barabara za nini
Wapemba wamejazana unguja na Dar na magari yao hawako pemba wala hawaishi pemba huko wanakuja kuwalaghai kipindi cha uchaguzi mkuu tu muwape kura

Hameni na nyie hamieni Unguja na Dar es salaam au mkoa wowote Tanzania bara kama wapemba wenzenu
 
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.

Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.

Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa cha pemba!

Kwa kweli ni aibu na kero kubwa sana kwa wakazi wa kisiwa hiki!
BILA PICHA?Sijawahi fika zenji kwa Afande mtoa jicho.
 
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.

Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.

Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa cha pemba!

Kwa kweli ni aibu na kero kubwa sana kwa wakazi wa kisiwa hiki!
Subiri budget ya bara mwaka ujao wa fedha 50 kwa 50
 
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.

Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.

Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa cha pemba!

Kwa kweli ni aibu na kero kubwa sana kwa wakazi wa kisiwa hiki!
Siku mkimtoa Rais kutoka huko mtajengewa mpaka Visima hivyo Si ndio mnakimbilia kua raia wa Kenya na uraia mnapewa au Si nyie?
 
Dr.Ally Shein (mzaliwa wa Pemba) alikuwa Rais wa Zanzibar! Aliifanyia nini Pemba?
Alikuwepo Dr.Omar Juma (the late) alikuwa VP kwenye Serikali ya Muungano! Alikuwa Mpemba,aliifanyia nini Pemba?
Prof.Mbawala ni Mpemba-waziri wa mawasiliano na Uchukuzi JMT! Vipi naye?
 
Huyo Mbawala Si ndio yule alieshindwa kujibu maswali kule mahakamani za kimataifa tukaishia kulipa mabillion ya shillings au ni mwingine?
 
Back
Top Bottom