Yaras
Member
- Jul 10, 2023
- 7
- 7
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.
Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.
Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa cha pemba!
Kwa kweli ni aibu na kero kubwa sana kwa wakazi wa kisiwa hiki!