Angalizo: Habari hii ni ya mwaka 2014.
=====
Kusoma zaidi juu ya makatazo mbalimbali wakati wa Ramadhani Zanzibar pamoja na marufuku nyingine kwenye mambo mengine soma:
Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika
Hilo siyo kosa la jinai kumchapa mtu
Wahuni waliofunga........Mbona picha ni kama wahuni flani wanamuadabisha muhuni mwenzao?
What is mfungo?Hii picha huko Zanzibar imenisikitisha sana kwa kweli, huyo kijana anaadhibiwa kwa kuwa tu amekutwa akila wakati wa mfungo wa ramadhani!
Sasa kwa nini mnafanya hivi? Nilifikiri Allah wenu ni mkubwa na anaona kila kitu na kila mtu, na kwamba kila mtu atapewa hukumu yake kulingana na anavyoishi sasa ni kwa nini mnalazimisha watu waamini dini zenu?
Kama mimi sitaki kufunga au labda naumwa ni kwa nini ni tatizo lako? Acheni hizo bhana, mmeniboa sana kwa kweli!
Kijana wa watu akipigwa Zanzibar kisa alikula wakati wa Mfungo!
Itungwe sheria kabisa wanaokula wafungwe au faini na sio kupigwa!
Kama nyie mnafunga na hamuweki mipaka ni nyie, sisi tunaweka mipaka yetu ukikengeuka unakula bakora tu hatutaki mchezo sie!!
Itungwe sheria kabisa wanaokula wafungwe au faini na sio kupigwa!
Na hamna chochote kinachoonesha au kusikika kuh Dini..Mbona picha ni kama wahuni flani wanamuadabisha muhuni mwenzao?
Nyie ni nyie na sisi ni sisi fuatilia mambo yenu yakwetu hayakuhusu! !!Swali ni kwamba ni nani amekupa hayo Mamlaka ya kuhukumu?
Kivipi?Nyie ni nyie na sisi ni sisi fuatilia mambo yenu yakwetu hayakuhusu! !!