Pele kwenye ubora wake

Pele kwenye ubora wake

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189
Alifunga Hat-trick mara 92.
- Alifunga magoli manne mara 31.
- Alifunga magoli 5 mara 6.
- Na mara moja akafunga magoli 8
ndani ya
mchezo mmoja.
- Amefunga jumla ya magoli 1,283
ya ubora
wa hali ya juu ndani yake kukiwa na
magoli
77 aliyoifungia timu yake ya taifa
Brazil.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1373040670740.jpg
    uploadfromtaptalk1373040670740.jpg
    7.4 KB · Views: 373
we m2 unacheza mpira na mabeki wasiojua kukaba utaachaje kufunga migoli yote hiyo. M2 unapiga chenga timu nzima wala hawakukwatui! Angecheza soka ulaya haswa italy asingefikisha migoli yote hiyo. Mabeki aina Frank Libouf, Marceily Desaily, Nigal de jong, mabeki wa Ac milan wa mwaka 1989-90 angevunjwa miguu na asingefunga. Kwanza mchezaji gani wa kiwango chake hajakipiga ulaya? Soka lipo uropa bhana!
 
Mwısho wa siku,he is the Best
 
ulaya ya majuzi tu hapo? Enzi hizo hata fifa hawajaanza kutoa mchezaji bora wa dunia acha hizo ana hadhi yake na ulaya ingekuwepo kama leo ndo angefunika mbaya na angekuwa amechukua uchezaji bora wa fifa hata zaidi ya mara 10
 
Hajawahitokea mchezaji kama PELE ktk tasnia ya soka
 
Mimi wasiwasi wangu huwa ni idadi ya magoli inayosemekana kufunga (1283), hiyo idadi ni kubwa sana, nifanye assumption rahisi kwamba alicheza kwa idadi ya misimu ishirini, ukiassume hivyo inaonyesha huyo jamaa alikuwa anafunga wastani wa magoli zaidi ya 64 kila msimu, hii ngumu kumeza labda kama walianza kuhesabu magoli yote kuanzia chandimu hadi mazoezini.
 
Acheni jamani mpira ulikuwa unachezwa zamani bwana, sasa cku hizi unakuta cocher ahimiza kujilinda zaidi kuliko kuacha wachezaji wafanye mambo uwanjani . Soka ni magoli unakuta timu nzima imejaza mabeki na viungo goli litafungwa saa ngapi?
 
we m2 unacheza mpira na mabeki wasiojua kukaba utaachaje kufunga migoli yote hiyo. M2 unapiga chenga timu nzima wala hawakukwatui! Angecheza soka ulaya haswa italy asingefikisha migoli yote hiyo. Mabeki aina Frank Libouf, Marceily Desaily, Nigal de jong, mabeki wa Ac milan wa mwaka 1989-90 angevunjwa miguu na asingefunga. Kwanza mchezaji gani wa kiwango chake hajakipiga ulaya? Soka lipo uropa bhana!

Mkuu, zamani mabeki walikuwa wana roho mbaya kuliko siku hizi na marefa walikuwa hawawalindi wachezaji wakubwa kama anavyolindwa messi leo. Tukubali tu kuwa alikuwa anaweza tu.
 
Pele anapambwa na kubebwa sana na FIFA, kwanza mafanikio yake yanayomfanya aonekane mkali ni akiwa na team ya taifa tu, ambayo ilikua na mafundi kibao waliomfanya awike, ila safa zote anamwagiwa yeye.

Hana mafanikio hata ya kumzidi Messi on club level, kwanza club zenyewe alizochezea, kama Mkuu 072 alivyosema, zilikua za kwao huko, kama alikua mkali kilimshinda nini kwenda kuwika Ulaya.

Mfalme wa soccer ni bad boy, Diego Armando Maradona, hana mfano wala mchezaji wa kumkaribia, ila tu hapendwi na FIFA kwa sababu ya discipline yake nje ya uwanja, ila ndani ya uwanja huyo Pele ni ball-boy tu kwa the Football God himself.
 
Mm naona hapa tunaongelea ushabiki sasa na si uwezo wa mtu!!pele atabak kua the best 2..na usiseme alibebwa zaid na watu Wengn kumbka mpira Brazil n kama culture....na sifa ya wanaojua weng hupewa jersey no 10!!!kama huamn fuatilia nan kavaa hiyo no hujawah kumuelewa kiwango chake!!toka enz za pele mpka leo golden boy neymar..
 
Akina Pele (mpira) na akina Mohammed Ali (ngumi) walikuwa wachezaji waliotukuka na walioustarehesha ulimwengu kwa namna ya pekee
 
ulaya ya majuzi tu hapo? Enzi hizo hata fifa hawajaanza kutoa mchezaji bora wa dunia acha hizo ana hadhi yake na ulaya ingekuwepo kama leo ndo angefunika mbaya na angekuwa amechukua uchezaji bora wa fifa hata zaidi ya mara 10

pele amebakia kama chombo cha propaganda cha fifa, ndio maana hata wakati wa kumchagua mchezaji bora wa karne pele hakupewa, matokeo yake kura akapewa Diego Maradona. Fifa wakaamua kumbeba pele eti wapewe tuzo wote wawili! Kisa Maradona ni mtovu wa nidhamu! Maradona akawaambia fifa hayupo tayari kushea tuzo yake na mtu mwingine. Kwangu mchezaji bora kabisa kupata kutokea duniani ni diego maradona.
 
........Amen!
 
we m2 unacheza mpira na mabeki wasiojua kukaba utaachaje kufunga migoli yote hiyo. M2 unapiga chenga timu nzima wala hawakukwatui! Angecheza soka ulaya haswa italy asingefikisha migoli yote hiyo. Mabeki aina Frank Libouf, Marceily Desaily, Nigal de jong, mabeki wa Ac milan wa mwaka 1989-90 angevunjwa miguu na asingefunga. Kwanza mchezaji gani wa kiwango chake hajakipiga ulaya? Soka lipo uropa bhana!

hivi unajua kuwa wakati huo soka la ubora wa juu lilikua linachezwa America kuliko Ulaya?
 
pele amebakia kama chombo cha propaganda cha fifa, ndio maana hata wakati wa kumchagua mchezaji bora wa karne pele hakupewa, matokeo yake kura akapewa Diego Maradona. Fifa wakaamua kumbeba pele eti wapewe tuzo wote wawili! Kisa Maradona ni mtovu wa nidhamu! Maradona akawaambia fifa hayupo tayari kushea tuzo yake na mtu mwingine. Kwangu mchezaji bora kabisa kupata kutokea duniani ni diego maradona.

Mkuu labda kama tungeweka vigezo vinavyoangaliwa then tuone nani anavyo vingi?
 
Back
Top Bottom