Pele kwenye ubora wake

Pele kwenye ubora wake

Hawajui hao wameanza kufuatilia soka juzi juzi wakati wa ulaya

Haya wewe unaejua tuambie ni lini kwa level za clubs, mpira wa S.America ulikua juu kuliko Europa?
 
hivi unajua kuwa wakati huo soka la ubora wa juu lilikua linachezwa America kuliko Ulaya?

Niclub gani zilikuwa juu miaka hiyo huko america kuliko vilab vya ulaya? Club za america kusini ni club za kawaida sana na club hizo zipo Argentina na Brazil. Club kama santos, Gremio, wakorinto, na vasco da gama huwezi kuzifananisha na club kama juventus, Ac milan, Inter milan na Napol. Au club kama River plate, Boca junior nk ukazifananisha na club za spain kama real madrid au barcelona! Utakuwa umelewa.
 
Mimi wasiwasi wangu huwa ni idadi ya magoli inayosemekana kufunga (1283), hiyo idadi ni kubwa sana, nifanye assumption rahisi kwamba alicheza kwa idadi ya misimu ishirini, ukiassume hivyo inaonyesha huyo jamaa alikuwa anafunga wastani wa magoli zaidi ya 64 kila msimu, hii ngumu kumeza labda kama walianza kuhesabu magoli yote kuanzia chandimu hadi mazoezini.

Pele kacheza mda mrefu zaidi ya unavofikiria,pia angalia kapga hat trick ngapi,goal 4 ngap ,goal 5 mpaka 8
 
Pele anapambwa na kubebwa sana na FIFA, kwanza mafanikio yake yanayomfanya aonekane mkali ni akiwa na team ya taifa tu, ambayo ilikua na mafundi kibao waliomfanya awike, ila safa zote anamwagiwa yeye.

Hana mafanikio hata ya kumzidi Messi on club level, kwanza club zenyewe alizochezea, kama Mkuu 072 alivyosema, zilikua za kwao huko, kama alikua mkali kilimshinda nini kwenda kuwika Ulaya.

Mfalme wa soccer ni bad boy, Diego Armando Maradona, hana mfano wala mchezaji wa kumkaribia, ila tu hapendwi na FIFA kwa sababu ya discipline yake nje ya uwanja, ila ndani ya uwanja huyo Pele ni ball-boy tu kwa the Football God himself.

Unamapenz na maradona,lazma pele umuone co mzuri.
 
Niclub gani zilikuwa juu miaka hiyo huko america kuliko vilab vya ulaya? Club za america kusini ni club za kawaida sana na club hizo zipo Argentina na Brazil. Club kama santos, Gremio, wakorinto, na vasco da gama huwezi kuzifananisha na club kama juventus, Ac milan, Inter milan na Napol. Au club kama River plate, Boca junior nk ukazifananisha na club za spain kama real madrid au barcelona! Utakuwa umelewa.

Soka la america lilikuwa juu acha ubishi
 
Soka la america lilikuwa juu acha ubishi

we mbona unajibu kama upo kule chit chat? We unajua hakuna mchezaji yeyote duniani asiye na ndoto za kucheza ulaya. Diego amechezea club kubwa duniani. Amesukuma ngozi pale camp nou, akatoka akaenda pale mji wa naple, akakanyanga ndimu na clab ya napoli. We unaonaje mpaka hapo? Pele kacheza pale santos aliposhuka kiwango akakimbilia marekani kumalizia mpira wake. Kumbuka miaka ile soka marekani ilikuwa c issue sana, huko alikutana na wachezaji wasio na viwango kabisa alilokwenda kufunga magoli yasiyo na ugumu wowote
 
Pele kacheza mda mrefu zaidi ya unavofikiria,pia angalia kapga hat trick ngapi,goal 4 ngap ,goal 5 mpaka 8

Ndugu yangu inawezekana kacheza muda mrefu zaidi ya ninavyofikiria lakini ukweli ni kwamba alianza kucheza 1956 na akaacha 1977, na mwaka wa kwanza hakufunga goli hata moja. kwa hiyo muda aliocheza pia sio mrefu kama na wewe unavyofikiria, rekodi pia zinaonyesha magoli ya rasmi (official) ni 757 hayo mengine kama nilivyosema mechi za mchangani, chandimu na mechi za kirafiki tu kama vile Yanga na Simba wanavyofanya ziara ya kanda ya ziwa na kucheza mechi kadhaa bila kujali aina ya timu wanazocheza nazo.

Na angekuwa mfungaji mzuri kama tunavyoaminishwa nadhani angekuwa anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi kombe la dunia maana yeye ndo kacheza tournament nne tofauti lakini idadi ya magoli kazidiwa na waliocheza tournament tatu.

Mwisho kabisa ni kweli Pele alikuwa mchezaji mzuri lakini idadi hiyo ya magoli lazima tukubali mengine ni ya mchangani ambayo kila mchezaji akiyaweka naamini wengi tu watakuwa na hiyo idadi.
 
mkuu chukua 'LIKE' la nguvu,chakuongeza sheria za kuotea kpnd hko zilikuwa hakuna ama duni mno!jamaa kahesabu mpk magoli ya chandimu hilo halina ubish!
 
we mbona unajibu kama upo kule chit chat? We unajua hakuna mchezaji yeyote duniani asiye na ndoto za kucheza ulaya. Diego amechezea club kubwa duniani. Amesukuma ngozi pale camp nou, akatoka akaenda pale mji wa naple, akakanyanga ndimu na clab ya napoli. We unaonaje mpaka hapo? Pele kacheza pale santos aliposhuka kiwango akakimbilia marekani kumalizia mpira wake. Kumbuka miaka ile soka marekani ilikuwa c issue sana, huko alikutana na wachezaji wasio na viwango kabisa alilokwenda kufunga magoli yasiyo na ugumu wowote,kwan ili uwe bora ni mpaka ucheze ulaya!.
 
Back
Top Bottom