Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

pedicure.jpg

hata wanaume tunafanyiwaga kiutaratibu, wao wako kazini ila ikizidi ni noumer.

Sawa bana kutafuta uzuri kwa wanaume huku
Sijui unasaidia nini hapo
 
Aisifiaye mvua, imenyea... kwann awasifie wakaka tena mbele yako..? hongera we unamoyo mkuu as u said its all about trust(nimeipenda).. ila mi SIWEZI sitakagi kwanza mke wangu amfie mwanaume mwingine mbele yangu.. ukiona hivyo ujue kuna ka-weekness anajaribu kukwambie indirect.. mi napenda wife awe muwazi na namshukuru Mungu kwa hilo

Samito u just made me lough big time! Unajua sio misemo yote inaleta maana ile ile "Eti aisifiaye mvua". Pia inategemea aina ya sifa zitolewazo, mkeo akiwa shabiki wa Simba na akamsifia Kaseja mbele yako utafanyaje???
Nini tafasiri ya kuwa muwazi??
Kipi bora akwambie ujue au amute lakini anafurahia huduma ya Mkongo man....hahahahaaaaa

Mwisho wa siku "It all about trust"
 
Nililazimika kununua vifaa vya kufanyia hiyo kitu ili kuondoa possibility kwa Mama Ngina kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya nyumbani.
Ni vyema kuchukuwa tahadhari, maana usisubiri kuambiwa, "Ni shetani tualinipitia wallahi"

Aaaaaaaaah Mtambuzi acha utani!

Bra na kufuli ananunua wapi???
 
Aaaaaaaaah Mtambuzi acha utani!

Bra na kufuli ananunua wapi???
Huwezi amini nanunua mwenyewe, kwani maduka siyajui......................
Mimi nina wivu bana...............Mungu mwenyewe ana wivu seuze mimi!
 
Hahahaaa napenda sina kuona jinsi kina kaka roho zinavowapaa juu ya wake zenu! Lakini mbona nyie wataalamu wa kushare mali za wake zenu? Iweje roho ziwapae kwenye kuguswa vidole tu? Kweli mapenzi yanarun dunia lol. .
 
Samito u just made me lough big time! Unajua sio misemo yote inaleta maana ile ile "Eti aisifiaye mvua". Pia inategemea aina ya sifa zitolewazo, mkeo akiwa shabiki wa Simba na akamsifia Kaseja mbele yako utafanyaje???
Nini tafasiri ya kuwa muwazi??
Kipi bora akwambie ujue au amute lakini anafurahia huduma ya Mkongo man....hahahahaaaaa

Mwisho wa siku "It all about trust"

Kuwa muwazi maana yake ni akwambie akipendacho ili umtimizie na sio kusifia kitu akidhani kuwa ur learning something kumbe hamna..!

kwenye swala la mfano wa kaseja hiyo sio mbaya maana anasifia mchezo anaocheza (anaofanya) lakini mtu anaemuosha (anaemfanyia) hapo tayari kunakuwa na ka-ulinganisho ambapo kama una akili inabidi ujifunze kitu. angalizo mkuu, sina maana ya kukufanya ukaenda kumkunjia sura shem leo ila najua wanawake wengi wana hako kamchezo hasa anapoona kila akwambiacho kujfanyi mwishowe watakwambia kitu ujiskie wivu lakini wakiwa na lengo la kukubadili..!
 
Hapa ni utata mtupu:

Wife wangu huwa anasifia kwamba kina kaka wanajua kuosha nywele vizuri.

Sasa BAGAH uniambie: ukitaka kufanyiwa scrub, utapenda akuhudumie mwanamke au mbaba mwenzio????

At day end its all about trust!!

this post is so funny! halafu inakaribiana na ukweli aisee..
 
Huwezi amini nanunua mwenyewe, kwani maduka siyajui......................
Mimi nina wivu bana...............Mungu mwenyewe ana wivu seuze mimi!

Hahahahahaaaa!

Ila uko sawa Mtambuzi,,....nimeipenda hii ya Mungu nae ana wivu!
 
Kuwa muwazi maana yake ni akwambie akipendacho ili umtimizie na sio kusifia kitu akidhani kuwa ur learning something kumbe hamna..!

kwenye swala la mfano wa kaseja hiyo sio mbaya maana anasifia mchezo anaocheza (anaofanya) lakini mtu anaemuosha (anaemfanyia) hapo tayari kunakuwa na ka-ulinganisho ambapo kama una akili inabidi ujifunze kitu. angalizo mkuu, sina maana ya kukufanya ukaenda kumkunjia sura shem leo ila najua wanawake wengi wana hako kamchezo hasa anapoona kila akwambiacho kujfanyi mwishowe watakwambia kitu ujiskie wivu lakini wakiwa na lengo la kukubadili..!

Samito maswala haya magumu sana.
Usijali shem wako yuko mikono salama!
 
Mmh! Wachokozi sana wale, tena wengine washnzy huwa wanatekenya kwenye miguu. Kuna mmoja nilimpa bonge la sonyo na konzi juu. Hadi leo ana adabu.
 
hivi inawezekana baadhi ya akina dada wakawa wana-stoop so low kiasi cha kugawa kwa watengeza kucha na wasuka nywele? mmh labda bwana, tusibishe tusije kuletewa ushahidi tukabaki mdomo wazi...
 
Nililazimika kununua vifaa vya kufanyia hiyo kitu ili kuondoa possibility kwa Mama Ngina kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya nyumbani.
Ni vyema kuchukuwa tahadhari, maana usisubiri kuambiwa, "Ni shetani tualinipitia wallahi"

ebwana mimi nilinunua ila visingizio haviishi mara hoo nikifanyia nyumbani natumia muda mwingi mara nasevu umeme maana anadai draya inakula umeme mwingi mara hoo kuna mafuta sina
 
Rafiki yangu (mchaga) ambaye ameoa tukiwa tumekaa naye mitaa ya sinza,akaona wadada wanavyotengenezwa kucha
akaniambia ....." aisee...mimi mke wangu siwesi kumruhusu aje apa ati..wewe angalia lile jamaa linavyoshikashika mguu wa yule dada,mimi nawesa kuua hakyanani"
 
Back
Top Bottom