munguyupo
Member
- Sep 4, 2015
- 22
- 1
EWE MWANAMKE, MAMA, MSICHANA AMA BINTI POLE SANA KWAKUSUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU NA TABIA KAMA U.T.I, MIWASHO SEHEMU ZA SIRI, FUNGUS, MIRIJA YA UZAZI KUZIBA, MAUMIVU YA TUMBO WAKATI WA HEDHI N.K.
SOMA KWA MAKINI HABARI HII NJEMA YA UFUMBUZI WA MATATIZO YOTE HAYO....
BAADA YA KUMALIZA KUSOMA MADA HII UTAKUWA UMEYAJUA YAFUATAYO
1. Sifa za pedi bora
2. Kwa nini pedi ya neplily ni bora kuliko zingine?
3. Je hiyo anion iliyopo kwenye ped ya neplily Inatengenezwaje
4. Hiyo anion Inavunwaje
5. Hiyo anioni inawekwaje kwenye pedi
6. Inaingiaje mwilini
7. Utendaji kazi wa anion mwilini ukeni
8. Udhaifu wa pedi zisizokuwa na Anion
9. Ijue pedi unayoitumia
10. Je ni lazima uathirike kama utatumia pedi zisizokuwa na Anion?
11. Faida za pedi za Neplily
12. Wapi utanunua Pedi za Neplily
13. Kwanini ni muhimu uwafundishe na wengine uzuri wa Neplily Pads.
SIFA ZA PEDI BORA
1. Imetengenezwa kwa pamba laini na pamba grade 1
2. Haitoi majimaji au damu nje ya pedi
3. Inafyonza uchafu sio kuuzuia hapo ukeni
4. Inauwa bacteria wabaya na kuzuia fangasi, miwasho na harufu mbaya
5. Ina nasa au kukaa vizuri katika mwili na chupi na kulenga uke wote.
6. Haina gundi na madini ya benzene.
KWA NINI PEDI ZA NEPLILY NI TOFAUTI NA PEDI ZINGINE?
- Tofauti kubwa ya pedi ya neplily na pedi zingine ni uwepo wa anion katika plate ya pedi hii. Anion hii ndio inaifanya pedi hii kuwa bora sana kuliko pedi zingine. Angalia picha seheme ambayo anion plate ipo.
ANIONI NI NINI? Anion ni charge hasi
Kuna aina mbili za chaji kwa lugha ya kawaida ambayo ni
1. positive - chanya
2. Negative - hasi
JE HIZI ANIONS ZINAVUNWA WAPI? ILI KUJA KUTENGENEZEA HII BIDHAA YETU?
Anions za kutengeneza nepliply sanitary pads mimi napemda kuziita anions sanitary pad zimetengenezwa kwa kuvuna anions kwenye vyazo vifuatavyo. Technolojia kubwa imetumika sio rahisi kuelezea hapa.
- Kwenye misitu minene
- Kwenye maporomoko ya maji karibu
- Kwende upepo mzito unatembea kwa kasi sana
SEHEMU ANION ZILIPOWEKWA KENYE PEDI – Angalia comment #01 hapo chini
- Kitu cha tofauti ni kwamba anion plate hii haijagundishwa na gundi ila imekuwa woven (imeshonwa kitaalamu) na ile pamba ya laini ya pedi. Kwa hiyo hakuna gundi hapo au madini mengine yaliyotumika kuishikiza anioni plate na na pedi au pamba laini
JE ANIONI INAINGIAJE UKENI (MWILINI
- Ikumbukwe pedi hii hufanya kazi kwanza kama pedi zingine yaani kufyonza au kutunza majimaji na damu itokayo ukeni lakini
pedi hii ya neplily huenda mbali zaidi ya hapo yaani kuzuia uzalianaji wa bacteria na fangas wabaya na kutibu na kuzuia UTI, pia hufungua uzazi.
- Hii anion plate ikilowa na maji au damu tu, inafyonza damu yote na kutengeneza oxygen ambayo hupenya na kutoa joto lote na majimaji au unyevunyevu ukeni . Anioni hii huruhusu upepo kuingia lakini hairusu maji au damudamu kutoka.
Na lengo la kuruhusu hewa iingie sio maji au damu ni kwa sababu hizi
1. Hewa inapopita inaondoa joto lote na kuondoa mazingira ya bakteria kuota.
2. Pia hewa inasafisha na kukausha unyevu nyevu wote ambao ukiachwa wadudu aka bakteria wanachekelea na kuoteana.
3. Hivyo unakuwa mkavu na kuwa na ujoto kama upo kwenye AC vile( jinsi utakavyo jisikia mwenye amani).
4. Haya basi baada ya kupata tu, unyevunyuvu inaanza kusambaza ANIONS zinaanza kupanda kuingia kwenye kizazi, mpaka kwenye.mirija ya uzazi
NAMNA ANION INAVYOFANYA KAZI NDANI YA UKE
5. Sasa hii oxgen inapokuwa ukeni inauwa hawa bakteria wabaya na fangasi maana hawawezi kukua ikiwepo oxygen safi.
6. Pia hawa anaerobes (bacteria wakuao bila oxgen safi) hubadilisha mazingira ya asidi ndani ya sehemu za siri. Hivyo anioni inarudisha PH ya ndani ya uke hadi kati ya PH 4.0 hadi PH 5.5
7. Hizi anions zinapokuwa zinazama kuingiza ile oxygen inayo patikana inaua anaerobic bakteria wote na kuhakikisha mazingira ya sehemu za siri yana baki na UASILI WAKE YANI PH YAKE YA 4-5.5 NA KUZUIA KUPATA BAKTERIA NYEMELEZI NA KUZUIA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI MAANA KUBADILIKA KWA PH YA SEHEMU ZA SIRI KUNAMFANYA HATA HUMAN PAPILLOMA VIRUS HUYU NI VIRUS HATARI ANAYE SABABISHA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI KUANZA KUSHAMBULIA KIZAZI.
UDHAIFU WA PEDI ZINGINE AMBAZO HAZINA ANION.
1. Pedi hizo zina material ambayo sio rafiki wa afya ya binadamu. (Recycled materials) kama karatasi za ofisini, plastics ana vumbi za mbao
2. Pedi hazipitishi hewa, hivyo joto lote linakaa ndani, ukichukua joto + unyevu nyevu wakati wa hedhi ni mbolea nzuri kwa bakteria kuota na kumea.
3. Pedi zinafyonza kiasi kidogo na huku bado zinabaki na unyevu nyevu na kukufanya muda wote huna amani maana unasikia ikulu kumelowa.
4. Zingine zinavujisha majimaji na damu na unakuta baadhi ya wamama na wanavialama kwenye nguo zao.
5. Pedi hazizuii harufu mbaya ya wakati wa hedhi au harufu ya uke wenye harufu mbaya inakuwa.
JE UNAJUA PEDI UNAYOTUMIA INA NINI?
- Hili ndilo swali la msingi usiseme tu pedi ni mbaya au nzuri jiulize ni mbaya kwa sababu gani na nzuri kwa sababu gani ~ hapo utakuwa umeamua kisomi.
- Usiangalie bei kwanza angalia ubora wake kwanza.
- Huna haja ya kununua ugonjwa ambao utakugharimu mamilion kwa kuepusha pesa ambayo utaenda kuiepusha hata kwenye vitu ambavyo sio vya KUILINDA AFYA YAKO.
- Napenda nikwambie kuwa pedi nyingi zimetengenezwa kwa kuchukua mabaki ya karatasi,plastics na kemikali mbali mbali zikapitishwa kwenye machine (RECYCLING) na hatimaye kupata material ya pedi unazotumia.(chunguza kama utaweza)
- Ndugu yangu gundi inayotumika kugundishia pedi hizo kwenye nguo ya ndani ili ikae vizuri imetengenezwa kwa kutumia BENZENE!
Benzene kama jina lake lilivyobaya inakufanyia mambo mabaya yafuatayo
1. Inavuruga mzunguko wa hedhi
2. inakuletea maumivu,kichefu chefu yani kitaalamu (dysmenorhea)
3. Pia inaweza,kusababisha kubleed kwa muda mrefu bila sababu yoyote tena ovyo ovyo (Polymetrohagia)
4. Pia inasabisha kukosa kabisa hedhi bila hata sababu ya maana (Amenorhea)
MBONA NIMETUMIA PEDI ZISIZO NA ANIONI MIAKA YOTE NA
BADO NIKO VIZURI?
Hili ni janga kila dada ana lalamika mzunguko, ugumba,uvimbe kwenye kizazi watoto wadogo tu, uke mkavu. Sijui maumivi wakati wa tendo au hedhi nakadhalika sio yote yamesababishwa na pedi. LAKINI KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
Unaweza kuwa fit kwa kutumia pedi za kawaida ila wengine wakaathirika, yote haya inategemea jinsi gani mwili wako unaitikia kwenye hii benzene. Kama upo sensitive utapata mdhara haraka na kama hauko sensitive utachelewa kupata madhara. Hi ni kwa sababu kila moja ya mwanamke ana genes tofauti na mwingine hivyo madhara pia yanakuwa tofauti, wachache wanakuwa salama kabisa. Chukua tahadhari.
PIA KUNA WANAOSEMA WANATUMIA KITAMBAA NA WAPO FITI
Ni sawa kabisa, ila mara ukipatwa na magonjwa sugu yatokanayo na utumiaji wa hewa chafu (maana huwezi kuwa na hewa yako peke yako), chakula ulichopika mwenyewe lakini kisichofaa, chakula kilicholimwa kwa kutumia mbegu za genetic na mambo kadha wa kadha yasiyozuilika na kupelekea wewe kupata magonjwa kama UTI, fangasi ukeni, muwasho na uvimbe basi jua ya kwamba NEPLILY PAD HAZIKWEPEKI. Katika hali ya kawaida kitambaa kitakufaa lakini kama upo na hali isiyokuwa ya kawaida as una tokwa na damu, una uke mkavu, maumivi au hata hedhi mvurugiko nakadhalika sioni kitambaa kikikupa comfort ya kujiachia na kuwa huru sana. But kama umezoea kuvaa kutumia kitambaa na unakuwa fiti basi hiyo ni nzuri unaweza pia shea uzoefu huo na kwa wengine.
UMUHIMU WA PEDI ZA NEPLILY UNATOKANA NA
1. Imetengenezwa kwa pamba laini na ni nyepesi, nene na haina mikwaruzo kwenye ngozi ya mwili.
2. Uwezo wake wa kufyonza maji au damu mkubwa mara10 kuliko pedi za kawaida
3. Uwezo wake wa kupitisha hewa pande zote mbele na nyuma
4. Uwezo wake wa kutengeneza Oxygen
5. Uwezo wake wa kuuwa bacteria na fangus wabaya
6. Uwezo wake wa kuzuia na kutibu harufu mbaya itokayo ukeni
7. Uwezo wake wa kutibu ugumba, inafungua miraji iliyozibwa na taka
8. Uwezo wake wa kurekebisha Homorn
9. Uwezo wake wa kuweka PH ya uke sawa
10. Zipo za kutumia siku za hedhi na siku ambazo si za hedhi (kama wewe unamagonjwa)
Pia
~ Inaondoa uchovu
~ Inazuia maambukizi ya uzazi hasa unapokuwa kwenye mazingira hatarishi kama vile mabwawa ya kuogolea.(swimming pool), kwa kuwa hairuhusu maji kuingia
~ Inarekebisha uzazi,baada ya kujifungua
~ Zinatibu bawasiri kwa wamama na wababa
~ Zinatibu fangasi za miguuni kwa wote wababa na wamama
~ Matatizo ya kuumwa kichwa au stress ama matumbo kwa wamama
~ matatizo ya hedhi na kumwa kiuno wakati wa tendo la ndoa
NUNUA PEDI ZA NEPLILY.
Zipo za kutumia wakati wa hedhi na zile za kutumia wakati haupo hedhi yaani zile unazitumia kama unamatatizo hayo yameorodheshwa hapo juu ya magonjwa ya UKE. Pedi hizi huwezi zipata katika maduka ya kawaida isipokuwa kutoka kwa msambazaji aliyeidhinishwa tu. Hii ni kwa sababu ya kulinda ubora na kuondoa ubabaishaji uliopo kwenye udhaifu wa pedi zingine. SHARE NA WENZAKO WAJIFUNZE
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana
Piga/Text 0753606603
WhatsApp 0753606603
Nickson Health Consultant