Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,529
majuto mperungu umemuona mbulula na koti lake kapigwa na bumbuwazi?Mbululaaaaaaaaaaaaaa....!
Lokissa , pedeshee ni mutu ya mapesa mengi, yote mapya, elfu kumi kumi tu, hana hela nyingine zaidi ya elfu kumikumi.Bijibuji sijaelewa Kiswahili ulichotumia katika hii picha
hebu tumia kiswahili rahisi tuweze kuelewa hasa sisi wa porini mbai na darisalama
Lokissa , pedeshee ni mutu ya mapesa mengi, yote mapya, elfu kumi kumi tu, hana hela nyingine zaidi ya elfu kumikumi.
Kutomboka ni kucheza muziki
Kumbe nje ya mjengo wanaelewana....!
Eeeeh papaaaaaaa mukulukulu teh teh teh ..................!