Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Mkuu soma habari iliyotangulia..Kisha nitafsirie ibala ya 19(2) unaielewa vipi...Na kwa kumalizia tu inaposemwa - Serikali haina dini ila watu wake, sii maneno ya PTC wala KKKT ila ni katika kuielewa katiba..
Mkuu taratibu, tunaongea kiswahili hapa... Ibara ya 19(2) inasema hivi:-
Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi".
Bara mwaka huu lazima mtiane vidole machoni. UDINI MTUPU
watanzania na hasa waislam wanatakiwa kufikiri mara mbili kama kweli vichwa vyao vinafanya kazi, pale yanapozungumzwa mambo yenye public interest na yale ya makundi. Mbona la MoU ni watanzania wote kuliko hilo la kadhi? Please, wake and gain understanding men!
Afadhali maaskofu wamekumbuka shuka kabla hakujakucha!
Mikristu bada, akili zao kama picha za sura zao!
Mkandara,
Siyo lazima uchangie kila thread. Heshima yako kwa wengine iko juu sana.
Hilo uliloandika hapo juu, haliendani na wewe. Nafahamu utakuja juu kutetea kuwa uko sawa. Mkuu, mawazo yako yako juu zaidi ya kuamini 'dunia ni kama meza'.