Pccb

Joshua Haji

Senior Member
Nov 4, 2011
108
20
Mambo ya Usalama wa Taifa ni kweli yanahitaji Usiri wa Hali ya juu..Tanzania kuna masuala ambayo nitaipongeza idara hii yakiwamo Ulinzi wa Dola ya Nchi na kusupress chokochoko za Aina yoyote dhidi ya Waheshimiwa wenu, hapo tu Mmejitahidi..najua Threat ni nyingi ila sababu ya Ushupavu wenu ndio maana mimi mwananchi wa kawaida kabisa hata sina habari ya hatari zozote ndani na nje mipakani.
Lakini Marekani kwa mfano, wanaidara Nyingi sana ambazo zinareport kwa Director of Intelligence.(uku tunamuita Mkuu wa Usalama wa Taifa) ukitoa C.I.A ambayo naamini ndio Kitengo kikuu cha Intelligence ya Nje na Ndani ya Marekani(H.Q Langley Virginia).kuna NSA DIA nk..

Aliwahi kuwepo Jasusi anaitwa,J.Edgar Hoover huyu mtu sitaki kumuelezea sana lakini naamini historia inamkumbuka kuwa ndiye aliesaidia sana Intelligence ndani ya Nchi yake (Marekani) kuzaa matunda mazuri,akiwa muasisi wa F.B.I mpaka leo hii Marekani inaweza kupambana na Ufisadi unaoendelea Ndani ya Nchi yao unaofanywa na Native Americans kama Watumishi wa Serikali hadi kwa Magenge ya wahuni wanaovunja kila sheria ya Nchi "racketeering", Organized Crime n.k.

Kwanini Tanzania tunamuhitaji mtu kama Hoover,huwezi kuniambia Usalama wa Taifa bila kuwa na kitengo maalum cha kufuatilia waovu wa Nchi hii tutaweza kuwa salama, Marekani inamkumbuka Hoover kwa kupin down Cartels ,Mafia wanaofanya Organized Crime kama John Gotti,Machine gun Kelly

Anakumbukwa kwa kuwa mtu mwenye nguvu sana Marekani kiasi cha kuhofia na Ikulu kama Rais Truman alivyomwogopa,alikuwa mtu aliepata anachokitaka sikuzote kwa njia yoyote iwe ni wire tapping gvt officials kupata intel,kutumia scandal ili kublackmail watu watakaoweza kuhalt effort zake kwenye kesi anazofuatilia au hata kuingia Congress mwenyewe kushawishi apewe nguvu zaidi kisheria ili kufanikisha azma zake at anycost.

Sasa sisi tunakaa na PCCB yetu waheshimiwa Bungeni wa Chama tawala na Pinzani wapo ila hawataki kuipa meno Taasisi ile ,

Je tutaendelea kuimba wimbo wa Ufisadi tu ili tupate umaarufu?

leo biashara ya madawa ya kulevya Idara ya Polisi imeishia kukamata "Punda" tu,kweli?Hoover was a phenomenal guy,Obsessed with crimes,Angalia Congress ilivyompa meno kupitia Criminal Act ama Patriotic act..Tuacheni unafiki na sisi tuiangalie upya PCCB,kila kitu hadi DPP..Hamna kitu apo,its high time we reconsider ;Au mnasemaje wadau????
 
Back
Top Bottom