pccb

Huyo nadhani kaenda kuhojiwa cheti cha darasa la saba kakitoa wapi wakati serikali ilisitisha kutoa vyeti vya std seven mwaka 1993 mpaka 1999 waliomaliza mwaka 2000 ndo walikua na vyeti na kuendelea wale waliotoa feki kariakoo mtanyoosha maelezo
 
...sio kweli, vyeti vinatolewa kihalali, mbona mimi nilichukua changu cha mwaka 1998, juzi tu? Serikali haijasitisha kitu kama hicho
 
Huyo nadhani kaenda kuhojiwa cheti cha darasa la saba kakitoa wapi wakati serikali ilisitisha kutoa vyeti vya std seven mwaka 1993 mpaka 1999 waliomaliza mwaka 2000 ndo walikua na vyeti na kuendelea wale waliotoa feki kariakoo mtanyoosha maelezo

You are not sick you are Pathetic
 
Back
Top Bottom