A A.K.A.47 Member Joined Jan 27, 2013 Posts 56 Reaction score 6 Mar 18, 2013 #1 Kaacha kazi toka mwezi wa saba lakini salary slip zinaonyesha mshahara bado unaingia
Ansah Miles JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 392 Reaction score 175 Mar 19, 2013 #2 A.K.A.47 said: Kaacha kazi toka mwezi wa saba lakini salary slip zinaonyesha mshahara bado unaingia Click to expand... Hujaeleweka,weka wazi
A.K.A.47 said: Kaacha kazi toka mwezi wa saba lakini salary slip zinaonyesha mshahara bado unaingia Click to expand... Hujaeleweka,weka wazi
M MABAGHEE JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 682 Reaction score 126 Mar 19, 2013 #3 who, where?
Bubu Msemaovyo Platinum Member Joined May 9, 2007 Posts 4,189 Reaction score 3,550 Mar 19, 2013 #4 Kama ulitaka kuwataarifu PCCB umenoa step unatakiwa umtaarifu mwajiri wa huyo jamaa. Kama mhusika ni PCCB mwenyewe aliye acha kazi basi huyo hayajui maadili ya kazi anatakiwa akamatwe na aliyezituma hela kwa huyo aliyeacha kazi au wote wawili.
Kama ulitaka kuwataarifu PCCB umenoa step unatakiwa umtaarifu mwajiri wa huyo jamaa. Kama mhusika ni PCCB mwenyewe aliye acha kazi basi huyo hayajui maadili ya kazi anatakiwa akamatwe na aliyezituma hela kwa huyo aliyeacha kazi au wote wawili.
Mapondela JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 454 Reaction score 85 Mar 21, 2013 #5 Ulivyoandika ni kama vya mtaani.