mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
pccb wameshindwa kuwa na utaratibu mzuri wa kukusanya mitiani mpaka umepelekea watu kupiga chabo na kugoogle nxt tym mjilekebishe kwenye usimamizi sio mnawaambia watu wasimame wote kwenda kukusanya

Ukiona usimamizi haupo makini kiasi icho, ujue wenyewe wanaowahitaji walishapatikana mda mrefu wanangoja tu siku ya kuanza kazi!
pccb wameshindwa kuwa na utaratibu mzuri wa kukusanya mitiani mpaka umepelekea watu kupiga chabo na kugoogle nxt tym mjilekebishe kwenye usimamizi sio mnawaambia watu wasimame wote kwenda kukusanya
We nae ushafel tuu unaanza waonea wivu vilaza wenzio,kuleee
pccb wameshindwa kuwa na utaratibu mzuri wa kukusanya mitiani mpaka umepelekea watu kupiga chabo na kugoogle nxt tym mjilekebishe kwenye usimamizi sio mnawaambia watu wasimame wote kwenda kukusanya
Israel nimepiga pepa mm nnayosema ni ukweli mtupu wasimamizi walikuwa wapo kma, Vivuli hawajui taratibu za kusimamia kawaida pepa ya kusign uwainapita wakati mtian ukiendelea ss hawa jamaa wakaweka utaratibu wao wakusign na kukusanya mwishon na kuwaachia watu wote wasimame kukusanya uku wakijua wao wapo kum na watu wapo elfu tatu ilikuwa pata shika
pepa moja wanafanya kwa shift mbili haisee namna hii tutabaki kulia tu
Unatoa ushauri gani hapo.