kupanda basi ni cheaper and safer kuliko kuchanga mafuta na kwenda na private car, mkumbuke huu ni mchujo wa kwanza na mpo wengi so chances are slim, usiingie sana gharama kwa kitu chenye probability ndogo.
tunaoondoka na basi dsm tarh 7 tujuane hapa