PCCB na vyeti vya darasa la saba

vyeti vya std 7 vinapatikana, we nenda shule uliyomalizia utakikuta mi' changu ninacho, ukienda wakisema havipo ujue wameshakiuza wabane utakipata!


Naomba kwa aliyehitimu drs la 7 mwaka 1995 anisaidie kama yeye alipata cheti coz nimefuatilia mara kadhaa cheti changu bila mafanikio! Jibu nalopata ni kuwa mwaka huo vyeti havikutoka! So plz.
 
Sasa Hivi Vyeti Vya Darasa La Saba Vinatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…