PCCB mbona kimya?

Abdulbastwa

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
22
Reaction score
2
Habari za jioni wanajamvi.

Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update atusaidie.

Nawasilisha
 
Sorry PCCB naomba unielekeze process za kujiunga na hyo
 
Habari za jioni wanajamvi.

Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update atusaidie.

Nawasilisha

Kuwa na subira kijana.
 
Kuwa mpole tutawajurisha muda si mrefu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
habari ya jioni wakuu, nacikia jamaa wameanza kuita watu kazini kwanza kwa wale Wenye address za Dar, ni kweli? kuna mtu humu ndani ameshapigiwa?...
 
habari ya jioni wakuu, nacikia jamaa wameanza kuita watu kazini kwanza kwa wale Wenye address za Dar, ni kweli? kuna mtu humu ndani ameshapigiwa?...

Kazini si kweli...? Hao watapigiwa kufahamishwa wamefaulu alafu watajiandaa na mafunzo..
 
Ukiona hivyo kimia kingi basi wenye nafasi wameisha itwa ila ninyi ilikuwa ni zuga,VUMIRIA polepole ndio mwendo
 
Tulieni vijana kazi mtapata tu hata kama sio hapo,baadae mtagundua ishu sio kazi ishu ni kua elimu yenu inathaminiwa vp makazini na ndo hapo mtakuja kulitumia vizuri jamvi sio saiv mnavyotumika kwa sababu ya njaa! Vumilia bongo maisha ubishi.
 
Duh aisee kumbe ni jeshi kabisa? Kila la kheri zao

Sasa Mkuu, bila mafunzo ya aina hiyo utawezaje kupambana na mtoa rushwa utakayemkuta akitoa rushwa halafu akakutishi ana cha moto halafu wewe unataka kumtia mbaroni ?
 
Sasa Mkuu, bila mafunzo ya aina hiyo utawezaje kupambana na mtoa rushwa utakayemkuta akitoa rushwa halafu akakutishi ana cha moto halafu wewe unataka kumtia mbaroni ?

Haya kila la kheri lakini hivi wanachaguliwa kwa vigezo gani hawa watu? Ukute wengine wamefika hapo kwa rushwa, sasa mbwa kala mbwa hii dah anyway tutafika tuu
 
Haya kila la kheri lakini hivi wanachaguliwa kwa vigezo gani hawa watu? Ukute wengine wamefika hapo kwa rushwa, sasa mbwa kala mbwa hii dah anyway tutafika tuu

Hapana mkuu, hakuna anayeingia kwa rushwa, watu wamefanya interview tena kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…