wewe umesota sana mtaa nini? tangu lini serikali kuwa panctual wee tegemea next week mwishoni labda ,wee angalia mwenyewe interview uliambiwa saa tatu jee ilikuwa kweli si mvurugano tuu ulotokea pale,angalia stamico mpaka leo na walisema january mwanzoni ,ukifanya interview serikalini wee potezea kabisaaa usiwe na haraka kabisaaaaaaaaa.