PCCB boss at centre of media smear campaign

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
802
PCCB boss at centre of media smear campaign

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Dr Edward Hosea, appears to have become the primary target of an intense mudslinging campaign as the battle to tackle high-level corruption in the country gathers pace.

And according to THISDAY findings, a section of the local media has become embroiled in the elaborate scheme to smear the images of both Hosea in person and the PCCB as an institution.

It is now understood that a group of local businessmen at the centre of ongoing corruption investigations being conducted by the Bureau, have been circulating various allegations against the PCCB boss through the Internet and some local newspapers.

The businessmen have reportedly hired the services of a currently out-of-work media practitioner in Dar es Salaam to coordinate the campaign, and have been sponsoring the circulation of an email message with the subject title ’Kashfa nzito PCCB’ (Major scandal at PCCB).

’’Several journalists have been offered up to 500,000/- to publish the allegations against Hosea in their newspapers?after the email was copied to all major media houses in the country,’’ an impeccable source told THISDAY.

It has also come to light that in a new email message surfacing this week, journalists are roundly criticised for failing to conduct proper investigative research and publish the allegations against Hosea.

In the smear campaign apparently aimed at discrediting his reputation, the PCCB boss and government’s chosen corruption czar is directly accused of not only diverting Bureau funds for personal use, but also alleged to own mansions in both Dar es Salaam and the United States.

He is further alleged to be on the payroll of certain, unspecified business interests.

And the latest email message, from a sender identified only as ’’Nyerere Hayati’’ (The late Nyerere), says Hosea is finalising preparations to ’’fly to the US to spend Christmas and New Year holidays at his castle, using funds allocated to the Bureau (PCCB) for fighting corruption.’’

At a budget support review meeting in Dar es Salaam last month, some representatives of the donor community are reported to have raised concern about the allegations, obliging Hosea himself to take to the floor and give a statement.

Although the PCCB boss was yesterday not available to make further comment to THISDAY, he has already told at least one local newspaper that he remained unfazed by the attacks.

And contacted by phone in Dodoma yesterday, a close aide of Hosea asserted that the allegations being levelled against the Bureau’s top man would not deter them in their responsibilities to fight corruption.

Still, apart from one or two major cases, the PCCB has remained largely criticised for failing to register any real progress in fighting high-level corruption in the country.

Hosea himself has been calling for patience, citing several ongoing investigations against grand corruption including multiple allegations of graft at the Bank of Tanzania, mining contracts, the military radar scandal and several others.
 
No escape from Sobibo, Hosea must resign, there should be some elements of truth regarding this, who knows!
 
No escape from Sobibo, Hosea must resign, there should be some elements of truth regarding this, who knows!

Usemayo yana utata... element of truth katika lipi? Sakata la BoT? Ripoti ya siri ya Richmond? (aliyokabidhiwa JK) Sakata la Rada? Uchunguzi wa Buzwagi? kesi ya import support aliyoikalia DPP? Kesi ya Mahalu inayotaka kuzimwa? Waziri mmoja nyeti anayechunguzwa kwa rushwa akitaka ujumbe wa NEC? Nadhani inaweza kuwa yana ukweli, lakini kwanza wajiuzulu ama washitakiwe wahusika wa hayo niliyoyataja hapo juu kabla ya aliyewachunguza kujiuzulu. TUSIPOTEZANE MUELEKEO. Hosea alichemsha (japo alishinikizwa) kutoa taarifa ya Richmond, lakini wahusika wanajua anajua mengi na hatanyamazia, lakini hayo ya kughushi ni UZUSHI MTUPU
 
Kama wanaoeneza mkakati wa kumchafua ama kufichua uovu wa HOSEA wana nia njema na nchi hii, basi wasingetumia mbinu chafu kama za kutoa fedha kurubuni waandishi wa habari, wangetoa ushahidi wa wanayoyasema na kuyaacha yachapishwe na si vinginevyo. Tumeona jinsi wanaotoa tuhuma dhidi ya wengine ama wanaochunguza wanavyoandamwa, tukianzia na Mengi, Dr Slaa, Zitto na kadhalika
 
[QUOTE]''Several journalists have been offered up to 500,000/- to publish the allegations against Hosea in their newspapers?after the email was copied to all major media houses in the country,'' an impeccable source told THISDAY. [/QUOTE]


THISDAY ndio waliomuandama Hosea kuhusu Richmond bila kumuonea haya, lakini hushangai kwa hili wameliweka wazi?
 
Usemayo yana utata... element of truth katika lipi? Sakata la BoT? Ripoti ya siri ya Richmond? (aliyokabidhiwa JK) Sakata la Rada? Uchunguzi wa Buzwagi? kesi ya import support aliyoikalia DPP? Kesi ya Mahalu inayotaka kuzimwa? Waziri mmoja nyeti anayechunguzwa kwa rushwa akitaka ujumbe wa NEC? Nadhani inaweza kuwa yana ukweli, lakini kwanza wajiuzulu ama washitakiwe wahusika wa hayo niliyoyataja hapo juu kabla ya aliyewachunguza kujiuzulu. TUSIPOTEZANE MUELEKEO. Hosea alichemsha (japo alishinikizwa) kutoa taarifa ya Richmond, lakini wahusika wanajua anajua mengi na hatanyamazia, lakini hayo ya kughushi ni UZUSHI MTUPU

Hakuna alilofanikiwa. Rushwa ndiyo inapamba moto, hata bila ya kuchafuliwa jina lake kuna ushahidi tosha kwamba hawezi kazi na inabidi afukuzwe au ajiuzulu. Hana chochote cha kuonyesha kama ni mafanikio yake katika kupambana na rushwa.
 
Mengi analegeza kamba kushupalia suala la mshikaji wake la RDC. Hosea ni mtwana wa Kasungura, hivyo Mengi keshavutwa pembeni na Raisi wa Kweli (Kasungura)kaambiwa tuliza boli!
 
Jamani Mengi si Mwandishi wa habari, mbona hilo limekwisha kusema mara kibao humu JF.... Kama ni umiliki, mbona Coca Cola au maji ya Kilimanjari yakikosekana mtaani, hamusemi Mengi anahujumu wasiokunywa bia? Ana magazeti, ana viwanda, ana TV ana Redio sasa inakuaje munaanza kumhusisha na habari? Halafu gazeti lenyewe halimtetei Hosea kwa kila jambo bali kuhusu kampeni chafu na za kijinga, mimi mwenyewe nimewahi kufuatwa na huyo anayetajwa kutembeza 500,000 ili Hosea aandikwe vibaya, sasa inapofikia hata Rais JK anaposema kuna wakati waandishi wanatumika (Hotuba yake ya Kizota) kwanini hatulipigii kelele hili? Tusafishe kote kote, Hosea akikosea lazima asemwe, waandishi wakikosea lazima wasemwe, lakini si kila kitu mtu unashabikia kwenda mbele. Mfano Karamagi kavurunda Buzwagi na TICS leo unakuja kuambiwa ndiye aliyevunja na kuiba NBC Moshi, halafu kwa sababu ni mchafu, huchunguzi unashabikia tu... He!!! Wanasema Hosea amefoji hati za familia yeka kwenda kusoma MArekani, wakati wanaosema hayo wakijua ni majungu kwani baada tu ya kuandikwa kama ameghushi Wamarekani hawangevumilia.
 
Hosea has an opportunity to show his real mantle. He needs to show us, at least one example of what he is really capable of doing!
Vifaa vyote anavyo, anasubiri nini?
Aanzie kwa hao wanaompiga madongo, kama kweli yeye mwenyewe kazi anaiweza.
His performance this far is unsatisfactory. His Richmond report being an obvious example.
 
Hosea has an opportunity to show his real mantle. He needs to show us, at least one example of what he is really capable of doing!
Vifaa vyote anavyo, anasubiri nini?
Aanzie kwa hao wanaompiga madongo, kama kweli yeye mwenyewe kazi anaiweza.
His performance this far is unsatisfactory. His Richmond report being an obvious example.


Kalamu, hapo umenena. Hosea ana silaha zote za haki na ki-sheria kuwanyamazisha hao wanaompiga madongo. Kama hatumii ni kwa kuwa pengine wote (yeye na wao) wako kwenye zizi moja.

Hiyo ya Waziri nyeti na mambo ya NEC inaeleweka ni ngumu kwani ni rafiki yake na wanatoka kumoja. Ataanzia wapi?

Hata hivyo, nakubaliana na Halisi kuwa kwa jinsi ThisDay walivyokuwa wamemkalia kooni Hosea na kama wangepata info za uhakika kuendeleza kumkandamiza wangetumia. Ila ThisDay wameona kabisa kuwa info wanazopewa na facts walizonazo wao, haviendani na wameweza kujua kasoro ni wapi: Give a dog a bad name and then kill it.
 
Huyu jamaa si alifanya PHD katika "Mapambano dhidi ya Rushwa
nchini Tanzania: Nguvu ya Ushahidi wa Mazingira" sasa kama yeye ni mzamivu katika masuala ya Rushwa mbona hatuoni mafanikio
 
Hivi si alifanya PHD katika "Mapambano dhidi ya Rushwa
nchini Tanzania: Nguvu ya Ushahidi wa Mazingira"
Sasa kama ni mzamivu kweye anga hizo hizo anaashindwa nini ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom