hauzeeee45
Member
- Jul 3, 2024
- 23
- 75
Huyu anakuwa na uchungu na hajabweteka na matokeo hivyo uwezekano wa kufaulu ni mkubwaHaya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Huyu kama hakubweteka na matokeo ya kidato cha 4 basi inawezekana necta alibet Sehemu akasoma na ikaja hivyo hivyo kama alivyo somaKuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Chizi ulisoma PCB au PCM ?Huyu anakuwa na uchungu na hajabweteka na matokeo hivyo uwezekano wa kufaulu ni mkubwa
Huyu kama hakubweteka na matokeo ya kidato cha 4 basi inawezekana necta alibet Sehemu akasoma na ikaja hivyo hivyo kama alivyo soma
Mie nilichengaChizi ulisoma PCB au PCM ?
physics na hesabu ni masomo yanayo enda pamoja tofauti physics na biology.Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.

Kwa nadharia yako watu wenye 2 wakisoma PCB watapata vijiti kama watu wenye 2 waliosoma PCM!?Huyu anakuwa na uchungu na hajabweteka na matokeo hivyo uwezekano wa kufaulu ni mkubwa
Huyu kama hakubweteka na matokeo ya kidato cha 4 basi inawezekana necta alibet Sehemu akasoma na ikaja hivyo hivyo kama alivyo soma
Nikwabaadhi yao kama wana malengo ya uhakika na thabitiKwa nadharia yako watu wenye 2 wakisoma PCB watapata vijiti kama watu wenye 2 waliosoma PCM!?
In short ni hivi ni ngumu sana kutusua masomo yote kwa PCB kuliko PCMNimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
PCB sio PCMMADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Kwa hiyo ndio umedraw conclusion?Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Lingine tena kwenye hio B ongezea na BAM asubuhi sana kuchomelewa pendulum bobPCB ni balaa
Hesabu ni ngumu kuliko Biologyphysics na hesabu ni masomo yanayo enda pamoja tofauti physics na biology.
Nakupa A ya hesabu ni simple kuliko A ya biology
PCB practical zipo 3 physics, chemistry na biologyBio ni somo la kusoma huku umerelax
Hakuna kitu km hicho Wewe unachanganya madesa biology ya advance sio Ile o level Mzee we wa Wapi?Hesabu ni ngumu kuliko Biology
Hiyo sio factNimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.