Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Kwa hyo mwenye E ya bam anaweza soma chemical engineering
Sijawahi kuona kozi inaitwa chemical and industrial engineering hapa tz! Ila kama una maanisha chemical and processing engineering then jibu lipo wazi, chemical iko juu... Ila lazina uwe umesoma na kufaulu pcm!!Nsaidieni
Kumbe kuna tofauti kati ya chemical and industrial engineering vs industrial management?
Tofauti ipoje kwa ajira na kila kitu?
I mean ile industrial management ya mzumbe na indusrial engineering ya udsmSijawahi kuona kozi inaitwa chemical and industrial engineering hapa tz! Ila kama una maanisha chemical and processing engineering then jibu lipo wazi, chemical iko juu... Ila lazina uwe umesoma na kufaulu pcm!!
Mkuu ahsante Kwa Maelezo yako ya Kina juu ya Fani hii!
Lakini Kwenye maelezo yako umeibua swali mwishoni!
Je unaweza Kuwa effective manager viwandani bila Kupitia kuwa an Engineer?
Ajira kwa sasa hivi hazitabiriki mkuu... Ila kama ni probability basi mtu wa indistrial engineering ya udsm ana nafasi kubwa zaidi!!I mean ile industrial management ya mzumbe na indusrial engineering ya udsm
I mean ile industrial engineering
Mzumbe University was established by the Mzumbe University Charter, 2007.The University offers certificate, diploma, masters and degree courses in various fields. The following is a list of courses offered at Mzumbe University Tanzania
School of Public Administration and Management
Master of Public Administration (MPA)
Master of Health Systems Management (MHSM)
Master of Science in Health Monitoring and Evaluation (MSc. HM&E)
Master of Science in Local Government Management (MSc. LGM)
Master of Science in Human Resource Management (MSc. HRM)
Master of Leadership and Management (MLM)
Master of Research and Public Policy (MRPP)
Master of Business Administration in Health Management (MBAHM)
Bachelor of Human Resources Management (BHRM)
Bachelor of Public Administration (BPA)
Bachelor of Public Administration-Records and Archives Management (BPA-RAM)
Bachelor of Local Government Management (BLGM)
Bachelor of Health Systems Management (BHSM)
Certificate in Local Governament Management (CLGM)
[http://a81-10-so]
Faculty of Law
M in Constitutional and Administrative Law
M in Commercial Law
M International Law
Bachelor of Laws (LLB)
Certificate in Law (CL)
Faculty of Social Sciences
Bachelor of Science in Economics – Economic Planning and Policy (BSc. Econ-EPP)
Bachelor of Science in Economics – Project Planning and Management (BSc.Econ- PPM)
Bachelor of Science in Economics – Population and Development (BSc. Econ-P&D)
Bachelor of Education in Languages and Management (BELM)
Bachelor of Education in Commerce and Accountancy (BECA)
Bachelor of Education in Economics and Mathematics (BEEM)
Master of Science in Economics (MSc. Econ)
Master of Science in Project Planning and Management (MSc. PPM)
Master of Science in Economic Policy and Planning (MSc. EPP)
Master of Arts in Education (MA Ed)
School of Business
Master of Business Administration in Corporate Management (MBA– CM)
Master of Science in Accounting and Finance (MSc. A&F)
Master of Science in Procurement and Supply Chain Management (MSc. PSCM)
Master of Science in Entrepreneurship (MSc. Entrepreneurship)
Master of Science in Marketing Management (MSc. MM)
Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector (BAF-BS)
Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector (BAF-PS)
Bachelor of Business Administration in Marketing Management (BBA-MKT)
Bachelor of Business Administration in Entrepreneurship and Development (BBA-ED)
Bachelor of Business Administration in Procurement and Logistics Management (BBA-PLM)
Business Management Certificate (BMC)
Certificate in Logistics Management (CLGM)
Faculty of Science and Technology (FST)
Bachelor of Science in Library and Information Management (BSc. LIM)
Bachelor of Science in Information Technology and Systems (BSc. ITS)
Bachelor of Science in Information and Communication Technology with Business (BSc. ICT-B)
Bachelor of Science in Information and Communication Technology with Management (BSc. ICT-M)
Bachelor of Science in Industrial Engineering Management (BSc. IEM)
Bachelor of Science in Mathematics and ICT with Education (BSc.MIST-EDU)
Bachelor of Science in Production and Operations Management (BSc. POM)
Bachelor of Science in Applied Statistics (BSc. Applied Statistics)
Diploma in Applied Statistics (DAS)
Certificate in Applied Statistics (CAS)
Certificate in Information Technology (CIT)
ukimaliza chuo utajua na utakuja Hapa kuomba msaada.
Yaani Mie naona ni bora ukasomee kuwa mwalimu wa kemia au bailogia.
Mark my words

Mkuu Inategemea Na Vision yako...Nsaidieni
Kumbe kuna tofauti kati ya chemical and industrial engineering vs industrial management?
Tofauti ipoje kwa ajira na kila kitu?
hiyo ndo kabisa pure pCM. .na wmaachukua marks za juu mnoNa vipi kuhusu chemical and processing engineering nayo inagoma?
Sawa Sawa vipi BSc in medical laboratory sciencehiyo ndo kabisa pure pCM. .na wmaachukua marks za juu mno
Hii pcb anasoma na cut point zake ni 6 points 2017/2018 sema vyuo ni vchache hope ni Muhas 2 kwa sasa lbd hapo mbelenSawa Sawa vipi BSc in medical laboratory science
Thanks alotHii pcb anasoma na cut point zake ni 6 points 2017/2018 sema vyuo ni vchache hope ni Muhas 2 kwa sasa lbd hapo mbelen
Hapa utaingia cha kike... Kwa pcb kama ukifaulu vizuri komaa na pharmacy na md na kama unapenda kilimo na kama unajiweza kiakili nenda veterinary medicine ya sua!!Sawa Sawa vipi BSc in medical laboratory science
OK, nashukuru piaHapa utaingia cha kike... Kwa pcb kama ukifaulu vizuri komaa na pharmacy na md na kama unapenda kilimo na kama unajiweza kiakili nenda veterinary medicine ya sua!!
Daaa kweli aseeHapa utaingia cha kike... Kwa pcb kama ukifaulu vizuri komaa na pharmacy na md na kama unapenda kilimo na kama unajiweza kiakili nenda veterinary medicine ya sua!!
Engineering wanaangalia sana hesabu...o'level ulifauluje?Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks
Math nilpata CEngineering wanaangalia sana hesabu...o'level ulifauluje?