PCB kusomea kozi ya chemical and industrial engineering

Never Settle

Senior Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
166
Reaction score
136
Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks
 
Huwezi
Hauna advanced math
fa6e79b269013be4fde68e0ebc983467.jpg
nimeona hapo wanasema angalau E ya bam
 
Na vipi kuhusu chemical and processing engineering nayo inagoma?
 
Achana na hiyo kozi utakufa njaa. Kama kuna uwezekano kasomee Pharmacy! Ukiwa Pharmacisyt, hata cheti chako ukikiweka kwenye duka la dawa, hiyo ni hela tayari. Yani hapo hujaamka nyumbani kwako kwenda sehemu yeyote. Ningejua mapeama hata mie ningesomeaga madawa. Hii ni ajira ya milele.
 
Sawa ntalifanyia kazi
 
Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks

fa6e79b269013be4fde68e0ebc983467.jpg
nimeona hapo wanasema angalau E ya bam

Sio hesabu hiyo wala siyo principle advanced math ni pure
Unashauriwa ufanye utafiti kwa umakini kabla kuanza kusoma. Uliyoitaja wewe na inayofundishwa hapo mzumbe ni vitu viwili tofauti!!

Chemical engineering inafundishwa udsm pekee na unasoma miaka 4 na sio mi 3 na lazima uwe umesoma pcm na sio pcb!!

Kwa kuongezea tu, hiyo ya mzumbe sio kozi ya engineering na ukimaliza usitarajie kuitwa au kusajiliwa kama engineer!!

Wameweka hilo jina la engineering ila haina contents za uhandisi ndani, hiyo inahusu management ya viwanda tu kazi ambayo hata mtu wa management, au bicom au acount anaweza fanya!!

Hamna kozi ya uhandisi inayofundishwa miaka 3 kwa mtu anaye tokea form6!!

Uko sahihi wao wanataka E ya BAM na sio pure maths!!

Fanya reseach kwa umakini usije ukajuta badae...
 
Apart na kozi za afya ,mtu wa PCB anaweza akasoma kozi gani?
 
Kama ni ushauri ningekushauri usome pharmacy ila kwa sababu unataka kozi tofauti na za medicine jibu ni fupi tu, unaweza soma zote ambazo hazihitaji Pure maths!!!

Ushawahi kuisikia kozi inaitwa architecture? hii ni kozi heavy na inahitaji uwe na moyo kweli na sizani kama wanahitaji pure na ni rahisi sana kujiajiri na kuajiriwa kama ukiwa smart! nadhani inatolewa ardhi na MUST!

Vipi kuhusu land valuation?

Je unapenda kilimo?

Swali la msingi litabaki pale pale je wewe unapendelea nini?? Pia jitahidi kuchagua kozi ambayo ni rahisi kujiajiri maana siku hizi ajira ni za shida sana!!!
 
Hii kitu kwa uelewa wangu lazima pure math iwepo thuswhy PGM wana advantage sana tukiwaacha PCM wahusika zaid
 
Achana na hiyo kozi utakufa njaa. Kama kuna uwezekano kasomee Pharmacy! Ukiwa Pharmacisyt, hata cheti chako ukikiweka kwenye duka la dawa, hiyo ni hela tayari. Yani hapo hujaamka nyumbani kwako kwenda sehemu yeyote. Ningejua mapeama hata mie ningesomeaga madawa. Hii ni ajira ya milele.
Asante mkuu kwa kutambua hilo pharmacy ndo kila kitu kwa sasa namalizia ka mwaka kangu nianze cheza na dawa na pesa at the same time
 
Back
Top Bottom