robbertisaah
Member
- Dec 13, 2019
- 46
- 58
Sorry wakuu PC yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila inawaka then inaanza kuzunguka feni kwa kelele, vipi tatizo linaweza kuwa nini na nnasolve vipi?
Toa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga?Sorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp
Fungua toa Ram usafishe then urudishieSorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp
Inawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelelToa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga?
weka RAM nyingineInawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelel