ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,305
Kwa wenye ujuzi wanisaidie...laptop yangu ni HP natumia window 10...tatizo nikunganisha kwenye internet via simu au moderm hata kama sijatumia kusearch program kwenye mtandao data zinakwisha within short time...let say 1GB kwa saa moja au mbili...nifanyeje...msaada tafadhali