PC Yangu Imekuwaa Hivi Nipeni msaada

PC Yangu Imekuwaa Hivi Nipeni msaada

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
Tazamaa hiyoo Pichaaa...uniambie nn Tatizoooo
 

Attachments

  • 1406384914673.jpg
    1406384914673.jpg
    109.5 KB · Views: 130
Hiyo HDD yako ni nbovu kwa maana hiyo yakupasa uhifadhi files zako mapema.

Sio lazima, Win 7 , huw ainazingua sana na hasa ukizima kihuni, nachomshahuri aizime kihuni, aiache ipoe na baada ya muda aiwashe tena. ila ikiwaka asisahahu kufanya CHKDSK maana hiyo hardidsk itakuwa imezinguliwa na nimuhimu kuweka vitu sawa.
 
Hard disk ilowekwa ni Toshiba sata .laptop ni dell. Sector katka HDD hiyo zimekaa vibaya. Zinashindwa kujipangilia
 
Back
Top Bottom