PC yangu haitaki kuconnect wi-fi

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
5,213
4,328
wakuu kama kilivyo kichwa hapo juu,pc yangu inagoma kabisa kuswitch on wi fi,wala kufanya connection kwa wireless msaada tatizo nin? au nifanye nin?
nawasilisha.kam pich znavoonesha hapa chini
IMG-20161231-WA0003.jpg
IMG-20161231-WA0004.jpg
 
wakuu kama kilivyo kichwa hapo juu,pc yangu inagoma kabisa kuswitch on wi fi,wala kufanya connection kwa wireless msaada tatizo nin? au nifanye nin?
nawasilisha.kam pich znavoonesha hapa chini
Drivers bro.. Andika Model Number ya PC yako nenda kwenye website ya TOSHIBA.. Kuna kitengo cha Support and Drivers utaulizwa model number then watakuletea list ya drivers zote kwa ajili ya laptop yako, download.... Install... Reboot.. umemaliza kazi
 
Thanks in advance mkuu.nitafanya ivo
 
ikizingua nenda kwa device manager ondoa drivers za wifi then zi restore..(kama ni tatizo la drivers kucorrupt linaji resolve lenyewe
 
Back
Top Bottom