PC yangu haina Bluetooth nifanyeje

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,329
Reaction score
1,044
Nina PC ni dell mini (Intel) haina Bluetooth sasa napata shida sana kutranfer vitu kwa USB nipeni mbinu ya kuweka Bluetooth kwenye pc
 
Nunua external bluetooth device, unaichomeka kwenye usb port hapo iko kama flash, inafanana na external soundcard kama unaijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi hii ndiyo solution.

Ingawa sijaziona siku nyingi mara ya mwisho mimi niliitumia 2016. Kama upo Dar nenda Machinga Complex, ukiwa unatokea Boma ni upande huu huu utakaoshukia, panda ngazi hadi roshani ya 3 utakuta wanadeal na Computer kwa hardware na software.

Ulizia hako kaishu sidhani kama katazidi 5000 as 2009 mimi nilinunua 10000
 
Akikosa complex pale anaweza akaenda kkoo atapata mpya maana machinga vinakuaga used

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu bluetooth na kuhamisha mafile wapi na wapi? Movie moja si utahamisha saa zima?

Kama shida ni kuhamisha mafile tafuta wifi tena wifi ya ukweli sio hizi zinazoishiwa na N tafuta inayoishiwa na Ac na kama unajiweza inayoshiwa na ax ni nZuri zaidi. Utahamisha kwa speed kubwa kama unatumia usb vile.
 
Dah..mashine yako itakiw ya kizamani. 2.0 usb ports.
Bluetooth na kuhamisha mafaili si utachukua mwaka?
Kama umedhamilia pata hiyo external bluetooth drive..
 
Pia sio lazima utumia external usb dongle, unaweza tumia internal PCI adopter
 
TUMIA XENDER YA SIMU KUCONNECT KWA WIFI UTAINJOY
 
itabidi unifundishe vizuri.
 
nikiichomeka itainstall drive za Bluetooth au itakuwaje.
Ukiichomeka tu yenyewe itainstall drive Kisha ukihitaji kurusha kitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye kwanza unaenda kwenye Bluetooth icon ya PC una leftclick.

Kisha unaenda sehemu imeandikwa add device. Utaona device name ya simu yako katika available Bluetooth device Kisha itakuletea uingize tarakimu nne upande wa PC na Kisha kwenye simu baada ya kufanya hivo utakua umesha pair two devices.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Install application ya share it kwenye pc na sim yako hii inatumia WI-FI (WIRELESS INTERNET FIDELITY) ni rahisi ku connect speed yake hutojutia. APP hii inauwezo wa ku transfer files kutoka kwenye PC na kutoka kwenye SIM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina PC ni dell mini (Intel) haina Bluetooth sasa napata shida sana kutranfer vitu kwa USB nipeni mbinu ya kuweka Bluetooth kwenye pc

Uza nunua nyingine yenye kifaa hicho
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…