B brazuka Senior Member Joined May 30, 2014 Posts 159 Reaction score 257 Jun 4, 2014 #1 Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi
Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,114 Reaction score 9,280 Jun 4, 2014 #2 dell? kama dell check zile number kwa nyuma then google upate majibu.
H HASANALIS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 211 Reaction score 47 Jun 4, 2014 #3 brazuka said: Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi Click to expand... nakushauri ukiwa na tatizo unatakiwa ujieleze vya kutosha ili upate msaada kwa mfano hiyo pc yako aina gani spcs zake zikoje tatizo limeanza vipi mtu anaangalia jinsi ya kukusaidia
brazuka said: Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi Click to expand... nakushauri ukiwa na tatizo unatakiwa ujieleze vya kutosha ili upate msaada kwa mfano hiyo pc yako aina gani spcs zake zikoje tatizo limeanza vipi mtu anaangalia jinsi ya kukusaidia