Pc Tablet 4 Sale

Pc Tablet 4 Sale

Joined
Nov 8, 2018
Posts
15
Reaction score
0
Ni samsung galaxy tab 10.1
Inaukubwa wa 10inch/7.5inch
Inatumia lain/wifi
Inatuma sms na 4G net.
Camera nzuri
BEI 300K
CONT
0787101726

KARIBUNI
 
Attachments

  • 1542732649437262350146.jpg
    1542732649437262350146.jpg
    47.2 KB · Views: 25
  • 1542600696516635053413.jpg
    1542600696516635053413.jpg
    129.4 KB · Views: 22
  • 1542600733463117340727.jpg
    1542600733463117340727.jpg
    178.3 KB · Views: 21
  • 1542600561491-2082087011.jpg
    1542600561491-2082087011.jpg
    163.5 KB · Views: 22
  • 20181123_133430.jpg
    20181123_133430.jpg
    86.2 KB · Views: 22
  • 20181123_133345.jpg
    20181123_133345.jpg
    179 KB · Views: 24
Hivi hizi hela unafikiri tunaokota? Kifaa kimepitwa na wakati na kimechakaa namna hii umuuzie nani laki 3? Eti "PC Tablet"? Nani kakwambia ina sifa ya PC wakati inatumia ancient Android OS 4.0.4? Katoe msaada kwa kituo cha watoto yatima wachezee games maana hii ni toy tu sasa.
 
We lama huna pesa tulia acha kua na maneno ya ovyo kama hivyo ktika biashara za watu!
Huna maana ktk jamii ww!
 
Hivi hizi hela unafikiri tunaokota? Kifaa kimepitwa na wakati na kimechakaa namna hii umuuzie nani laki 3? Eti "PC Tablet"? Nani kakwambia ina sifa ya PC wakati inatumia ancient Android OS 4.0.4? Katoe msaada kwa kituo cha watoto yatima wachezee games maana hii ni toy tu sasa.
Hiyo kitu nilitaka kuichukua kabla sijaangalia review yake Samsung P7500 Galaxy Tab 10.1 3G - User opinions and reviews, Kwa kweli atanunua asiyefahamu haya makitu na ndio maana imeshafunguliwa nyuzi kibao
1543261761715.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom