mtogapigwite swe
New Member
- Nov 7, 2017
- 3
- 2
Mwenye kuelewa pc yangu ina tatizo la kutojaa chaji naomba nisaidwe kwa hili
Kuscreen shot kwa pc yyte.![]()
Cheki kwenye battery kama unapata msg. Kama hii
Naipata ila inaonyesha charging afu ni 0% aijai wala nn na nkiitoa tu chaji inazma![]()
Cheki kwenye battery kama unapata msg. Kama hii
betri yako itakuwa mbovu
Hazchem plate nisaidie na mimi nina tatizo kama la huyu mwenzanguNaipata ila inaonyesha charging afu ni 0% aijai wala nn na nkiitoa tu chaji inazma