Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,009
- 7,306
Wakuu habarini sana...
Wakuu nina kaPC kangu kaHP mwaka mmoja sasa...Kifupi hakajawahi kuwa na tatizo lolote zaidi mambo ya Window kucorrupt na mambo kama hayo.....
Sasa wakuu kuanzia juzi nimegundua changes kidogo nikitaka kuiweka chaji ikiwa imewaka na inatumika basi haipeleki kabisa na inawaka tu kitaa cha kijani kuonesha chaji inafanya kazi ila moto ndo hauonekani kusukuma betri....
Wakuu tatizo hili linatokana na nini na dawa ya tatizo ni nini haswa...
Shukrani wakuu kwa msaada mtakaonipa!!