PC inakataa kupiga Windows

Tsvangirai

Member
Mar 25, 2017
8
0
14c15e3f73450af321a8e63a264b7e29.jpg


hi
nime format drive ya Windows nikijaribu ku boot inaandika hivi angalia hii picha
 
mkuu kama ume format inamaana umefuta kila kitu kwenye hio drive ikiwemo operating system, kiufupi huna operating system.

tafuta cd au flash ya windows ili ueke upya hio windows yako.
 
mkuu kama ume format inamaana umefuta kila kitu kwenye hio drive ikiwemo operating system, kiufupi huna operating system.

tafuta cd au flash ya windows ili ueke upya hio windows yako.
Sorry mkuu mi nahsi hapo ndo anaweka window ktk process yake imeandika hvyo
 
Hard disk inacheza otherwise haisomi na muda mwingine inasoma nshawah kumbana na kadhia ka hyo inaweza soma mpaka 70% afu inakata change hard disk yako then try boss
 
ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
angalia mkuu hapo inamaanisha hauna windows ndo maana imeshindwa ku"install halaf pia kama unatumia flash kupiga windows hakikisha unaenda kwenye "bios set up" kuweka order vizuri ili flash isome..!
 
itoe hio hdd...unganisha km external hdd kwenye pc nyingine...format upya...au km ni mtaalam kidogo weka ubuntu hio haikatai hdd ...labda iwe imekufa hio hdd...but jaribu option ya kwanza halafu ufanye hizo nyingine
 
Back
Top Bottom