Habari zenu wadau, nilitaka kujua kati ya kucheza game kwa kutumia computer na game consoles mfano PS, xbox, nintendo n.k , ipi ni njia nzuri ya kuinjoy kucheza game?
Kwa uraisi wa kupata game bila gharama pc ni nzuri. Pc hupati tabu ya kupata game.
Tatizo consoles game zinauzwa ghali labda uijailbreak.
Binafsi napenda pc haikulimit upnde wa graphic.
Habari zenu wadau, nilitaka kujua kati ya kucheza game kwakutumia computer na game consoles mfano Ps,xbox,nintendo n.k , ipi ni njia nzuri ya kuinjoy kucheza game?