Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
kwa windows 8 sku hz
kuna xbox games zinakubali pad za xbox(japo sjatumia) game kali
nilizozicheza na kuziona
-skull of shougan
-hallo spartan
-harvest
-na nyengine ndogo ndogo kama za android
Nina
-Fifa 13, Pes 2013, Sniper Elite v2 na Call Of Duty 5.
Kwa yoyote anaehitaji Game kati ya hizo anitafute.
eeeh bana wewe assassin creed 3 umeweza kucheza kwa full screen, mbona me sioni sehemu ya kuset resolution. alafu pia character hawatoi sauti.PES 17
Assassins creed 3
NFS 11
BIOSHOCK
PRINCE OF PERSIA
Mkuu si unaenda kwenye option>graphics>halafu screen resolution. kisha unachgua res unayoitaka.eeeh bana wewe assassin creed 3 umeweza kucheza kwa full screen, mbona me sioni sehemu ya kuset resolution. alafu pia character hawatoi sauti.
mkuu me nikiingia hapo sikuti rsolition setting nakuta tu.enviroment quality, texture quality, anti aliasing quality, na shadow quality basi.Mkuu si unaenda kwenye option>graphics>halafu screen resolution. kisha unachgua res unayoitaka.
kuhusu sauti download file hili FILE2.zip
kisha lipaste kweny AC3>sound data>PC.
paste hapo kwenye pc
Jaribu kufuatilia tutorials kwenye youtunemkuu me nikiingia hapo sikuti rsolition setting nakuta tu.enviroment quality, texture quality, anti aliasing quality, na shadow quality basi.
nimeshafatilia.youtube sijafanikiwa sijui labd tatizo gpu yanguJaribu kufuatilia tutorials kwenye youtune
kwani gpu yako ni ipi na inaukubwa gani?nimeshafatilia.youtube sijafanikiwa sijui labd tatizo gpu yangu
nvidia gt520 1gbkwani gpu yako ni ipi na inaukubwa gani?