Mkuu mm nataka kujua sawa kupokea siwezi pokea ila km nataka kutuma pesa via Paypal inawezekana mana kuna ka online training fulan wametanabaisha wanareceive money via Paypal onlyNdugu Mparee2 , maelezo yako kwenye post #3 yako sahihi.
Hili swala la Paypal limejadiliwa sana kwenye hizi thread
- Kuhusu Tanzania kukubali malipo kwa njia ya paypal
- Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal
- is there a way to receive money via paypal in tanzania?
Ndio inawezekana kutuma.nataka kutuma pesa via Paypal inawezekana mana kuna ka online training fulan wametanabaisha wanareceive money via Paypal only
Contact zangu zipo hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Agalia Post No.1Thanks boss hfu nlikupm siku moja ukanichinjia baharini ila najua tatizo lilikua ni kunipa contacts zako
. mm nipo NMB na refund zangu zinarudi kama kawa..nenda kachukue bank statement utazionaHujaelewa vizuri wewe
Reversal ya transaction ambayo ndo paypal refund inafanyika bila shida yoyote kwa account ya paypal duniani kote.
Ila Tanzania hatuna uweza wa ku pokea paypal funds toka kwenye account nyingine ya paypal au toka kwenye account number yako. Kwa lugha nyingine ni hatuwezi kufanya money transfer from a different paypal account au account ya benki ila paypal refund unapata tu mkuu
Nadhani unaelewa tofauti ya You can not receive funds na You can not Receive a Refund
Asante mkuuContact zangu zipo hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Agalia Post No.1
. mm nipo NMB na refund zangu zinarudi kama kawa..nenda kachukue bank statement utaziona
Je, nawezaje kufungua paypal account?Ndio inawezekana kutuma.
Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account TanzaniaJe, nawezaje kufungua paypal account?
Sina PayPal account ila nataka nimtumie mtu hela kwa njia ya PayPal
Hii inawezekana VP?
nimeelewa hata mimiHujaelewa vizuri wewe
Reversal ya transaction ambayo ndo paypal refund inafanyika bila shida yoyote kwa account ya paypal duniani kote.
Ila Tanzania hatuna uweza wa ku pokea paypal funds toka kwenye account nyingine ya paypal au toka kwenye account number yako. Kwa lugha nyingine ni hatuwezi kufanya money transfer from a different paypal account au account ya benki ila paypal refund unapata tu mkuu
Nadhani unaelewa tofauti ya You can not receive funds na You can not Receive a Refund
Nicheki hapa mr 0769920341Kwa mtu yeyote mwenye pesa kwenye account yake ya Paypal na anashindwa kuzitoa, mimi nanunua hizo pesa kwa makato ya 5%. Unanitumia mimi then mimi nakurushia kwa tigo pesa kwa kukata asilimia tano, kama unataka kuuza kitu online na mtu wako kasema hawezi kutuma pesa kwa njia yoyote ile isipokuwa paypal basi nitakupa email yangu atatupa pesa kwangu kisha mimi nitakata 5% na malipo yako ntakutumia kwa tigo pesa. Karibuni sana
msaada Jinsi ya kufungua account ya PayPal na jins ya kudeposit pesa na kutuma pesaNdugu Mparee2 , maelezo yako kwenye post #3 yako sahihi.
Hili swala la Paypal limejadiliwa sana kwenye hizi thread
- Kuhusu Tanzania kukubali malipo kwa njia ya paypal
- Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal
- is there a way to receive money via paypal in tanzania?
Vp kuhusu skrillNicheki hapa mr 0769920341