Paypal Tanzania

Wise.com process zikoje kufungua account ya company wanataka document za compny hapo unarukaje?
 
Mawasiliano tafadhari mkuu..nataka unifungulie kampuni UK
 
paypal bongo unapokea refund tu
 
Serikali yetu bado haijasikia kilio chetu. Inasikitisha sn.
 
Vodacom wamelink up na Paypal, kama wewe ni mtumiaji wa ile app ya M-Pesa utaona kuna section ya kulink up account yako ya Paypal na Mpesa number yako.

#Hallelujah!!!
 
Kulink kwa App haimaanishi kwamba ndo paypal wataruhusu upokee hela Tz. Shida nibkwamba hata ukilink huwezi pokea dola kwa paypal ya Tz kwasababu paypal hawajaruhusu ilo swala Tz
 
Vodacom wamelink up na Paypal, kama wewe ni mtumiaji wa ile app ya M-Pesa utaona kuna section ya kulink up account yako ya Paypal na Mpesa number yako.

#Hallelujah!!!
Sasa ngoma iko hapo. Account yangu ya PayPal ina kina la mmasai wa kenya huko na namba ya safaricom sasa sijui nitalink vp na mpesa yangu yenye namba ya kibongo.
 
Sign up account ya Paypal palepale ndani ya Mpesa App, tumia details zako tu(gmail na namba iwe vodacomTz)

#Hallelujah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…