PayPal Account Help

Mkuu
Hii huduma imwruhusiwa na wahafidhina BOT? Maana wao kutwa kuforecast upungufu wa dola huku wakiembarass mifumo maridhawa ya online transactions

Weka mawasiliano tukufikie
 
BOT hawaitaki hio
 
Hii huduma unaweza kufungua account ila shida baadhi ya nchi wanakosa uwezo wa kuchomoa hela kwenye account. Ikiwemo Tanzania.
 
ndio maan tukawa jiran na Kenya .. Hasa hasa sisi tuliopo karb na Namanga tunakula bata na paypal... hunyimwi vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…