PAYE -Naomba kujua kwa Wajuzi wa Tax

Blaque

Senior Member
Feb 11, 2011
126
103
The concept of PAYE is based on 6 levels as following:
Level 1
Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
Hence
Taxable salary = Gross Salary – Pension amount
Level 2
Taxable salary that is equal or less than TZS. 170,000/= is not chargeable
Level 3
Taxable salary Between TZS. 170,000/= and TZS. 360,000/= is charged 11%
Level 4
Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3
Level 5
Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4
Level 6
Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5

Wakuu kutokana na hapo juu,je Mheshimiwa JPM akishusha asilimia kwenda single digit hizi Rates nyingine zinashuka? au zinabaki constant?
Nimejaribu kurudi nyuma Level 3 ilivyokuwa 18% level nyingine zilibaki kama zilivyo i.e 20%,25% & 30%.
nachotaka kujua kama zinaweza kubadilika nazo kwenda kwenye single digit.

Pia kwanini wastahafu pesa(Pension) yao inakatwa tena kodi?
 
Misaada imesimamishwa kwa hiyo sahau kabisa hiyo kitu

Mkuu nafikiri Tanzania tuna mali nyingi tu ambazo zinaweza zikatusimamimisha kiuchumi tukiachana na hiyo misaada ya MCC.
Punguzo la kodi kwa wafanyakazi linaweza fanyika na mambo mengine yakarekebishwa kuokoa uchumi wa nchi yetu.
Naomba nisaidei swali langu la msingi tuachane na mambo ya misaada kwanza.
 
Zingine huwa hazishushwi

Ahsante mkuu,Basi unafuu utakuwa kidogo saana kama ndio hivyo kima cha chini kinahusika hapo ili kupandisha kiwango.
Nafikiri kima cha chini kikiwa juu kama 350000. labda kodi inaanza kukatwa kuanzia 400k
 
aiseee hpo umeingia kichwani mwangu mzima mzima.naomba wataalam wa haya mambo waje kutusaidia.maana izo kodi kuna mda zlinifanya nikaacha kazi baada ya kuona ni upuuzi..kuna mstaafu anastaafu anaenda uraiani kuanza maisha mapya lakini anakatwa kodi adi mil9!!ivi inakuaje hawa waliokakaa na kutunga izi sheria???wazima kweli
??
 
Kibaya sana unakutwa unakatwa kodi kubwa mno kwa mwezi halafu still ukifika hme mwenyekiti wa kijiji anakuja na yeye anataka mchango kwa ajili ya ujenzi wa barabara.....
 
Kibaya sana unakutwa unakatwa kodi kubwa mno kwa mwezi halafu still ukifika hme mwenyekiti wa kijiji anakuja na yeye anataka mchango kwa ajili ya ujenzi wa barabara.....
:D:D:D:D
 
Wakati wa kukokotoa kodi michango kwenye mifuko ya hifadhi huwa inaondolewa hivyo lazima waikate mwishoni. Ukisoma income tax act kifungu cha 11 (7) (3) (h), kinaeleza vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom