Pawlenty quits as Romney campaign co-chair

Pawlenty quits as Romney campaign co-chair

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Tim Pawlenty quit as co-chair of Mitt Romney's presidential campaign on Thursday to become one of Wall Street's top lobbyists in Washington. Pawlenty, a former governor of Minnesota, will lead the Financial Services Roundtable.

The move came with Romney's campaign struggling to find its stride with just seven weeks left before Election Day.

Pawlenty quits as Romney campaign co-chair | The Ticket - Yahoo! News
 
Willard is like a turd that won't flush,just keeps on spinning
 
Mwanzo wa ngoma ni le le le.

Sehemu kubwa ya waamerika ni opportunists ambao huwa hawagandi na looser hata siku moja. Sitaki kusema kitu kitakachomchokonoa Nyani Ngabu huko aliko ila nadhani kitendo cha supporters wa Romney kujiondoa kwenye kundi lake pole pole siyo dalili nzuri sana kwa Mitt. Inawezekana Pawlenty kakurupuka na hivyo kuukosa u-secretary of commerce kwa vile Mitt anaweza kubadili mwelekeo wa uchaguzi wakati wowote, ila nadhani naye kama gavana wa term mbili anazijua sana politics za marekani; asingependa kuendelea kuside na looser.
 
Hehehe wameshaanza kufukuzana hata kabla ya debate...wameshasoma alama za nyakati kwamba huu uchaguzi 'Bama hana mpinzani sasa wanaanza kutafuta mchawi....Mtalaumu dobi bure kaniki ndiyo rangi yake.
 
Hehehe wameshaanza kufukuzana hata kabla ya debate...wameshasoma alama za nyakati kwamba huu uchaguzi 'Bama hana mpinzani sasa wanaanza kutafuta mchawi....Mtalaumu dobi bure kaniki ndiyo rangi yake.
hajafukuzwa, its just another strategy baada ya kuona romney anayumba washington.............
 
Pawlenty kashtuka Romnyehood inafanana sana na Sarahrouge!
 
..... And that's how the Cookie Crumbles....
 
Back
Top Bottom