PAW .......... Naongea na Wewe!!!


Mamndenyi nina kesi nawe tena kubwa hiyo hafu nataka wakili wangu awe masai dada
 
Last edited by a moderator:
ujumbe umefika ingawaje umetoka kwa mtu mtata dah mme ako anatabu saana.
 
hiviiiiii weeh Mamndenyi, alie-roast in pieces ni mke mwenzio ama mmeo? manake naona unajisogeza kwenye unga wangu, unga wenyewe robo! unachokoroa mzinga wa nyuki eeeh?

:fencing::fencing::fencing::fencing:
:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:


😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:

:target::target::target:

:mad2::A S-confused1::bange:
 
Last edited by a moderator:

King'asti yani mikwara yote hiyo ni kwa ajili ya mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Ona alivyopata shidi zote hizi eti kisa ni mie, mshana jr, nakuomba umpe salamu sana bibie King'asti
mwambie mie bado moyo wangu haujaanza kwenda mbio,
mapigo yako sawa sawia kabisa;
King'asti yani mikwara yote hiyo ni kwa ajili ya mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Haaa,
Yaani naweza kuharibu undugu wangu na wewe kwa ajili ya trauza kweli?
 
Nimejisikia aibu, kwa kuwa nishaanza tembea when I reach 2years old in this jf I promise I'll donate something.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…