Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
mfuko 1 unatoa idadi gani
ngoja tumsubiri Mwana Ilala aje ajibu!Kakimbia mbona hajibu?
Na squire mita moja inakaa paving ngapi?
Hallo wana JF.
Sorry kwa kuchelewa kujibu Maswali yenu.
Mfuko mmoja unatoa square meter 3.
Square meter 3 ni sawa na 150pvs.
Rangi inayotumika ni Original Red/Black Oxide from UK. Guarantee ya 10 years bila kupauka. Kwani Mfuko wa Original wa Red/Black Oxide ni Tsh=130,000.
Karibuni.