PAVING(Aina Mpya)

PAVING(Aina Mpya)

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo.

PAVING MARIDADI zinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh450 ImageUploadedByJamiiForums1417862446.694787.jpg ImageUploadedByJamiiForums1417862477.977240.jpg ImageUploadedByJamiiForums1417862497.682433.jpg ImageUploadedByJamiiForums1417862521.033513.jpg ImageUploadedByJamiiForums1417862545.484907.jpg @.

Au Kama utahitaji kufanyiwa hapo hapo ulipo(Unanunua mwenyewe materials)

Gharama ni Tsh=15,000 kwa Mfuko wa Cement.

Tuwasiliane kwa PM kwa yoyote Yule aliyevutiwa na design hii ya Paving kwa ajili majumbani.

Hakika, hata Kama nyumba yako ni ya kizamani, lazima itakuwa na Mvuto MARIDADI.

Karibuni. ImageUploadedByJamiiForums1417862404.710927.jpg
 
Hallo wana JF.

Sorry kwa kuchelewa kujibu Maswali yenu.

Mfuko mmoja unatoa square meter 3.

Square meter 3 ni sawa na 150pvs.

Rangi inayotumika ni Original Red/Black Oxide from UK. Guarantee ya 10 years bila kupauka. Kwani Mfuko wa Original wa Red/Black Oxide ni Tsh=130,000.

Karibuni.
 
Nimeusave huu uzi! Ila swali moja: mfuko mmoja wa Original Black na Red Oxide unatumia kwa mifuko mingapi ya cement?
 
Mfuko wa UK Original Red Oxide(25kgs) unapiga Wastani wa Pavings 4600 hadi 5000 kutegemeana na ukubwa/design ya Paving uliyochagua kutengeneza.

Mfuko mweusi unapiga pungufu ya hapo kwani ratio yake ni kali kidogo ili uweze kupata Pure Black, hivyo kujikuta ukiambuliwa Wastani wa Pavings 3000 hadi 3300 kwa Mfuko mmoja Mweusi.

NB: ukitumia mifuko ya rangi toka China na India, ni Wastani wa Pavings 2500 hadi 3000 kwa Mfuko mwekundu.

Mfuko mweusi toka china hutoweza kupata Wastani wa 2000Pavings.

Karibuni.
 
Hallo wana JF.

Sorry kwa kuchelewa kujibu Maswali yenu.

Mfuko mmoja unatoa square meter 3.

Square meter 3 ni sawa na 150pvs.

Rangi inayotumika ni Original Red/Black Oxide from UK. Guarantee ya 10 years bila kupauka. Kwani Mfuko wa Original wa Red/Black Oxide ni Tsh=130,000.

Karibuni.

Mbali ya Rangi na cement ,nyumbulisha mahitaji mengine kama nahitaji ufatulie kwangu
 
Inatakiwa uwe na Cement ya kutosha kulingana na ukubwa wa Eneo Lako.
Mfuko mmoja unatoa square meter 3 sawa na Pavings 150.

Maji yasiiwe ya visadolini, ili viweze kuwa vigumu lazima vinywe Maji ya kutosha.

Mchanga Nao usiwe wa kusomba kwa Mkokoteni. Unanunua Mende.

Rangi genuine ya Uk mifuko miwili ya Red na miwili ya Black.

Ni hayo tu mahitaji yake muhimu.
 
Nimeupenda sana uzi na ufafanuzi wako,je garama zako za kuifanya hii kazi zikoje,tafadhali tunaomba kujua
 
Back
Top Bottom