Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,980
- 285,478
Nani ana Ngwengwe?Wewe huoni kama ana ngwengwe?
AibuDigi linapenda misifa ya kijinga sana aibu utaona wewe
Paul chacha kwa muonekano wake tu ubongo ishaliwa na waduduNani ana Ngwengwe?
Kwa hiyo, kesi itakuwaje? Kutongozwa na mwenye Ngwengwe?
Una hakika kama kwenye safu ya viongozi wa CCM kuna mwenye akili Timamu hata mmoja?Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
SinaUna hakika kama kwenye safu ya viongozi wa CCM kuna mwenye akili Timamu hata mmoja?
Huyo Mmura Paulo Chacha ana mtindio wa UBONGO perce! Co bure. Kama unataka kujua fuatilia speech zake. Something very terrible in his Medulla Oblongata. Mirembe Mental Hospital inamhusu!!!Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
Ofisa wa ccmKapangiwa wapi sahivi
Kituo
Ova
Ni mwehuMwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu