Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Haya matokeo mbona hayana ushirikiano? Yaani mtu somo moja apate A, F tatu na D...how's that possible?
Kwa ufaulu huo anaenda chuo hivi vya elimu ya kati,na akikaza buti anaweza fika chuo kikuu na kama atendelea kielimu zaidi pia anaweza fika kiwango kingine cha elimu(hata kuwa profesa) kama ana mpango huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…